Daniel Abed Shauri
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 259
- 172
Kwa hio unataka kusema, Russia walishindwa kutimiza ahadi yao ya kumsaidia Sadamu, na kumuokoa mshirika wake Iraq , pia kuviokoa visima vyake vya mafuta kwasababu ya umbali????? Sio kweli.Mkuu as we speak tayari silaha za kivita za russia zipo NK.
alafu kumbuka kijiographia russia na NK wapo jirani
Mtumzima hatishiwi nyauUS bombers have flown close to North Korea's east coast in a show of force, the Pentagon says.
The move is to demonstrate that President Donald Trump has a "range of military options to defeat any threat", spokeswoman Dana White said.
The US and North Korea have ramped up their rhetoric recently.
At the UN on Tuesday, Mr Trump said that he would "totally destroy" North Korea if the US was forced to defend itself or its allies.
Na hicho kidhungu cha malkia nitawezaje kupiga mtonyoJIPATIE ELA YA UGALI HAPA: Viewing payed advertising sites vbmoney.site - Welcome!. NI RAHISI SANA JIUNGE FUATA MAELEKEZO UANZE KUPIGA ELA
Hii vita sio kama unavyodhani... I guess US akilianzisha basi atapambana na NK, RUSSIA, IRAN PLUS CHINA kwani hao ni allies
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yani ndege za Marekani unaongopea watu eti za Nk. Huyo mkorea anazitolea wapi mashine km hzo...View attachment 594661 kiduku mano nasa
Unazungumzia SAMs ambazo Israel imekua ikiziJam kila siku kule Syria.NK SAM
Tunakunamsubili Dotard
PointMzee soma nembo za product nyingi hata hizi iPhone tunazo tumia zimeandikwa assembled in China made in america mchina hana ubunifu uchumi na maendeleo yake ya kisayansi ni yakuiga tunaita vertical progress anakua kwa kuendeleza kilichopo na nikutoka marekani na kusimama kwa China kunatokna na financial support kubwa kutoka marekani so hawezi kua upande wa Korea maana marekani itamuwekea vikwazo vya kiuchumi[emoji2]
Hiyo meli sehemu zilipogongana ni sehemu ambayo meli nyingi sana zinapita hapo na kulikuwa na fog ( ukungu) mzito sana.Vipi na ile manowari ya Urusi iliyogongana na meli ya mizigo mapema mwaka huu na ikazama, nayo ilidukuliwa nini?!.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yani ndege za Marekani unaongopea watu eti za Nk. Huyo mkorea anazitolea wapi mashine km hzo...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] historia ya wapi hiyo mkuu, embu leta hata source tuone.1950s mbona alichapwa na hao NK na CHINA au hujui historia?
sasa mkuu si amipita tu pembeni kama speed rocketfundi mbona unaanza kuweweseka mapema hivi wakati movie ndo kwanza inaaanza
Apana mkuu mkuu nipo strong kama mkuu wangu kim![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] fundi mbona unaanza kuweweseka mapema hivi wakati movie ndo kwanza inaaanza
Pembeni, tumepita kwenye pwani yenu mnasema pembeni. Tena eneo hilo tulilopita hakuna ndege yoyote ya kijeshi iliyogusa kwa karne hii ya 21 ila za US tu.sasa mkuu si amipita tu pembeni kama speed rocket
Apana mkuu mkuu nipo strong kama mkuu wangu kim!
kwanini mmezipitisha bila ata kutema mate kwenye aridhi ya Rocket Man !!?mmepita mbali sana kuwapa watu wenu matumain kuwa mpo!!
sidhani kama mtarudia tena!!
zitafute North Korea Jet Fighters utazikuta yard
kim atasema badae kwanini aliziacha ila yeye alishaweka wazi hatakuwa wa kwaza kurusha ata jiwe !Pembeni, tumepita kwenye pwani yenu mnasema oembeni. Tena eneo hilo tulilopita hakuna ndege yoyote ya kijeshi iliyogusa kwa karne hii ya 21 ila za US tu.
Sasa mkuu ugomv kat ya nk na USA wew tz unaathirika vipi au kizaz chakoUSA has showed military showcase in Korean Peninsula and it went as much closer to North Korea!!!
The deployed destroyer were the B1 Suicide Bomber escorted by F -35 the finisher !!!
Eti Mbwa Kim Jung Un sijui anataka nini!!! As a an international community we must come out and remove Kim family from power!!! This is a right time than never ever before!!
We need to live in our world peacefully!!! Without any intimidation!!!
Kim Must be be Assassinated by any means or Pyongyang must be destroyed to keep our world safe for our new generation.
kumbuka kuna wazee,wanawake,na watoto bila kusahau walemavu na wagonjwaApigwe fasta huyo Kiduku mjinga!