Ulaya inauza zaidi Marekani kuliko inavyonunua kutoka Marekani.Kina Macron wana Rafale. Inauma mzungu wa west anajikuta ameendelea na anataka kuelekeza watu waishi vp wakati nyuma ya pazia nae ni kibaraka wa US
Ulaya inauza zaidi US kuliko inavyonunua.Europe is just another State of America.
Ila wanacheza UEFA🤣🤣🤣🤣Israel haiko Ulaya
Mkuu leta hizi TAKWIM IN WRITTEN FORMUlaya kwa Mwaka 2022 iliuza bidhaa za takribani dola billion 500 kwenda US wakati US iliuza bidhaa za takribani billion 350 kwenda Ulaya. Trade surplus katia ya Ulaya na US ni zaidi ya dola bilioni 150 huku Ulaya ikinufaika kwa kuuza zaidi Marekani.
Njoo dataUlaya inauza zaidi US kuliko inavyonunua.
Ila wanacheza UEFA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwa hizi data kuna trade imbalance taifa moja limefanya biashara na bara moja ambapo biashara hio inathamani ya $850 billion ambapo taarifa hii inadai taifa hilo liliuza bidhaa zenye thaman ya $ 350 na akanunua bidhaa zenye thaman ya $ 500 kutoka hilo bara.Ulaya kwa Mwaka 2022 iliuza bidhaa za takribani dola billion 500 kwenda US wakati US iliuza bidhaa za takribani billion 350 kwenda Ulaya. Trade surplus katia ya Ulaya na US ni zaidi ya dola bilioni 150 huku Ulaya ikinufaika kwa kuuza zaidi Marekani.
kwa hizi data kuna trade imbalance taifa moja limefanya biashara na bara moja ambapo biashara hio inathamani ya $850 billion ambapo taarifa hii inadai taifa hilo liliuza bidhaa zenye thaman ya $ 350 na akanunua bidhaa zenye thaman ya $ 500 kutoka hilo bara.
kiuchambuzi hii ni unfair trade . us ni mjanja
EU yote ni nusu tu ya United "States" of America. California, Texas na Apple wana GDP kubwa kuliko hata Urusi na hayo ni majimbo na kampuni tu.kwa hizi data kuna trade imbalance taifa moja limefanya biashara na bara moja ambapo biashara hio inathamani ya $850 billion ambapo taarifa hii inadai taifa hilo liliuza bidhaa zenye thaman ya $ 350 na akanunua bidhaa zenye thaman ya $ 500 kutoka hilo bara.
kiuchambuzi hii ni unfair trade . us ni mjanja
Hivi ukisema Ulaya si unamaanisha na Russia ni miongoni mwao?Kwa wasiojua ni kwamba US lazima awe na hasira dhidi ya ulaya na ataitesa kweli kama hawatokuwa makini sababu kuu ni kwamba kwanza US ilikuwa koloni la nchi za ulaya na 7bu ya pili ambayo ndo kubwa ni kwamba asili ya matajiri walioijenga US walitoka ulaya baada ya kuzikimbia tawala za kifalme za ulaya.
Wakati huo ilikuwa mfalme hataki kumuona raia mwingine ndani ya himaya yake anakuwa na ukwasi kumzidi hivyo wafalme walifanya hila zote na figisu kuhakikisha wanaweka kila aina ya vikwazo ili kuua uchumi wa washindani wao hivyo wengi wakakimbilia US na wakaendelea na biashara zao mfano Donald Trump ni Mjerumani kwa asili babu yake mfanyabiashara alikimbiliaga huko hata Joe Biden asili yake ni Ireland wahenga wao walikimbiliaga huko hivyo ulaya itaendelea kuisoma namba.
Sio Russia ni Moscow tu na Israel ndio zipo Ulaya🤣🤣🤣Hivi ukisema Ulaya si unamaanisha na Russia ni miongoni mwao?
Sure Ulaya inaanzia Vladvostok hadi LisbonHivi ukisema Ulaya si unamaanisha na Russia ni miongoni mwao?
NdioHivi ukisema Ulaya si unamaanisha na Russia ni miongoni mwao?