EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
🤣🤣🤣Kwani hukujifunza kuhusu ubepari na ubeberu uliokomaa
🤣🤣🤣Ulaya nzima wanashikiwa akili na Marekani, ni Asia na America kusini tu dio wanajitambua na hata Afruca inaweza jitambua kabla ya Ulaya
Ana watu wake wa east EuropeVp upande wa Russia.
Kina Macron wana Rafale. Inauma mzungu wa west anajikuta ameendelea na anataka kuelekeza watu waishi vp wakati nyuma ya pazia nae ni kibaraka wa USEurofighter ambayo ni nchi za UK; Germany; Italy and Spain ndio zimechangia Sweden ndio ina ndege yake inaitwa Saab JAS 39 Gripen
Asante mkuu hapo kweli France ana RAFALEKina Macron wana Rafale. Inauma mzungu wa west anajikuta ameendelea na anataka kuelekeza watu waishi vp wakati nyuma ya pazia nae ni kibaraka wa US
🤣🤣🤣🤣🤣Europe is just another State of America.
Ulaya ni mateka wa USCan you imagine US anauza 90% ya silaha Ulaya kwa mwamvuli wa NATO Nchi za ulaya zenye ndege zao(local) made ni Eurofighter ambayo ni nchi za UK; Germany; Italy and Spain ndio zimechangia Sweden ndio ina ndege yake inaitwa Saab JAS 39 Gripen
zilizobaki wanauziwa na US halafu anawashawishi NATO watoe ndege na silaha ambazo ni US made kwenda Ukraine Halafu wakipungukiwa wanaenda US kununua 🤣🤣🤣 sevis ya f35 ni 70$ millions na inafanywa na US kila silaha ukinunua unapaswa kwenda US kufundishwa matumizi 😂😂😂😂 of all European countries ni Israel pekee amepewa mandate ya kufanya modifications ya F35😅😅😅👇🏻👇🏻👇🏻
Kabisa aiseeUlaya ni mateka wa US
We waone hao ulaya ni wajinga kushikana na US. Hawana dhiki za kipuuzi kama zetu sisi huku.Ulaya nzima wanashikiwa akili na Marekani, ni Asia na America kusini tu dio wanajitambua na hata Afruca inaweza jitambua kabla ya Ulaya
Maneno tu hayo auze silaha kwa usa wakati hyo bajeti yake ya ulizi asilimia kubwa anategemea usa ampe hela hata akitaka kufanya project sponsor lazima usa atie mkono na hyo project inakuwa ya pamojaJamani humu ndani watu huwa wanasema Taifa teule la mungu baba la Israel ndio huwa linatengenez silaha na kumuuzia USA
Leo tena unasema USA ndio anayewauzia Taifa teule silaha-makubwa.
Israel haiko UlayaCan you imagine US anauza 90% ya silaha Ulaya kwa mwamvuli wa NATO Nchi za ulaya zenye ndege zao(local) made ni Eurofighter ambayo ni nchi za UK; Germany; Italy and Spain ndio zimechangia Sweden ndio ina ndege yake inaitwa Saab JAS 39 Gripen
zilizobaki wanauziwa na US halafu anawashawishi NATO watoe ndege na silaha ambazo ni US made kwenda Ukraine Halafu wakipungukiwa wanaenda US kununua [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sevis ya f35 ni 70$ millions na inafanywa na US kila silaha ukinunua unapaswa kwenda US kufundishwa matumizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] of all European countries ni Israel pekee amepewa mandate ya kufanya modifications ya F35[emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2653549
Ulaya kwa Mwaka 2022 iliuza bidhaa za takribani dola billion 500 kwenda US wakati US iliuza bidhaa za takribani billion 350 kwenda Ulaya. Trade surplus katia ya Ulaya na US ni zaidi ya dola bilioni 150 huku Ulaya ikinufaika kwa kuuza zaidi Marekani.Can you imagine US anauza 90% ya silaha Ulaya kwa mwamvuli wa NATO Nchi za ulaya zenye ndege zao(local) made ni Eurofighter ambayo ni nchi za UK; Germany; Italy and Spain ndio zimechangia Sweden ndio ina ndege yake inaitwa Saab JAS 39 Gripen
zilizobaki wanauziwa na US halafu anawashawishi NATO watoe ndege na silaha ambazo ni US made kwenda Ukraine Halafu wakipungukiwa wanaenda US kununua [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sevis ya f35 ni 70$ millions na inafanywa na US kila silaha ukinunua unapaswa kwenda US kufundishwa matumizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] of all European countries ni Israel pekee amepewa mandate ya kufanya modifications ya F35[emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2653549
Ulaya inauza zaidi Marekani kuliko inavyonunua kutoka Marekani.Ulaya nzima wanashikiwa akili na Marekani, ni Asia na America kusini tu dio wanajitambua na hata Afruca inaweza jitambua kabla ya Ulaya