Mama Clinton anazungumza sasa hivi anasema waliofanya hivyo vitendo lazima walipe,na wameshaanza mpango huo wa kuwasaka.Hao sana sana ndo wamewakaribisha wanajeshi wa marekani Libya.Kiukweli wamarekani lazima waende watahakikisha nao wanauwa na kukamata.Hao walibya wajinga sana.Haya ya kuuwawa kwa balozi na staffs wengineyasingetokea chini ya Gaddafi.They could've chose a different path to overthrow him.Wamarekani waliambiwa ni extremists wanamfanyia Gaddafi na kuchukuwa nchi, lakini kwasababu siyo wao walikuwa wanauwawa,basi wakafumbia macho!Hao waliouwa hao wamarekani wanne akiwemo balozi,nadhani hawajui kuwa wamefanya kitu ambacho marekani wanapenda,kwani wanapenda vita na pia sasa ndo watajikita huko vizuri zaidi kwa kigezo cha kulinda watu wake na interests zake.