US Ambassador to Libya has been killed

Status
Not open for further replies.
Mkuu JMushi,

Huyu Sam Bacile inaelezwa kwamba ni "property developer" na hajawahi kutengeneza filamu zozote na iweje leo hii atengeneze filamu kwa haraka hivyo na kufanya "timing" kuitoa wakati huu wa kampeni?

Inabidi tufikirie maana "foreign policy" ya USA siku zote imekuwa ni kusaidia kutingisha tawala za maeneo mengi ya mashariki ya kati ingawa kwa mahesabu makali sana.

Obama amepunguza majeshi nchini Iraq kiasi cha kuiacha nchi hiyo kwenye wimbi kubwa la vurugu za hapa na pale. Pia kuna mpango kwamba ifikapo mwaka 2013 majeshi yote yatakuwa yameondoka nchini Afghanstan.

Lakini Juzi kule Cairo Ubalozi wa US ulitoa taarifa kushutumu shambulio kwenye jengo la ubalozi huo kitendo ambacho kilipondwa na Romney kwa sababu ambazo bado sijazielewa.

Halafu Romney pia amesema kwamba "foreign policy" ya US ni "hit and miss" yaani akimaanisha kwamba kuna wakati inakuwa sawa na wakati inakosea malengo yake. Lakini juzi kwenye hotuba yake ya kupokea kupewa ugombea uraisi , Obama aligusia kwamba ni lazima US ijiondoe kwenye utegemezi wa mafuta kutoka nje akimaanisha mafuta kutoka mashariki ya kati, jambo linaokinzana na mawazo ya Republicans kwamba ni lazima ubeberu ukomae mizizi katika eneo hilo.

Wamarekani inabidi wafikirie upya hii foreign policy yao pamoja na uchumi wa ndani kwani ndivyo vitu vya msingi kabisa kuwaeleza wamarekani tofauti ya sera za Romney na zile za Obama.

Kwahio mimi nafikiri kwamba kwa sasa Obama atajaribu kuwatafuta waliohusika na mauaji ya Balozi Stevens maana ni tukio lililokuja bila kutarajiwa. Na wakipatikana watafikishwa kwenye vyombo vya sheria na wamarekani watataarifiwa na Obama kupata sifa kama alivyofanya kwa Osama BIn Laden, na hayo yote yatafanyika kabla ya uchaguzi mwezi November.
 

Bwa ha ha ha ha...Politico.....a left leaning outfit.

Unachekesha.
 
Haya maAmerica yafe tu yameua watu wengi sana... Yafe TU...
 
Bwa ha ha ha ha...Politico.....a left leaning outfit.

Unachekesha.
Haya basi ngoja nikutafutie ya Peggy Noonan. Sasa nae sijui utasemaje, huyu alikuwa speech write wa Reegan!.

[h=1]Noonan: Romney not helping himself.[/h]


The Wall Street Journal's Peggy Noonan is criticizing Mitt Romney's response to the death of a U.S. diplomat in Libya, telling Fox News today she doesn't feel that the Republican presidential nominee "has been doing himself any favors" in the past few hours.
"I was thinking as he spoke, I think I belong to the old school of thinking that in times of great drama and heightened crisis, and in times when something violent has happened to your people, I always think discretion is the better way to go," Noonan said. "When you step forward in the midst of a political environment and start giving statements on something dramatic and violent that has happened, you're always leaving yourself open to accusations that you are trying to exploit things politically."
In a statement last night, Romney slammed the Obama administration for sympathizing "with those who waged the attacks" rather than condemning the attacks outright. Romney doubled-down on that attack today during a press conference, telling reporters the statement was "akin to apology" and that it was "disgraceful to apologize for American values."
But Romney's effort to politicize the violence in Libya was met with blowback not just from the Obama administration but from the media. "[Romney's] doubling down on criticism... is likely to be seen as one of the most craven and ill-advised tactical moves in this entire campaign," Time magazine's Mark Halperin wrote on his blog.
(PHOTOS: Anti-U.S. attacks in Cairo, Libya)
Noonan's criticism delivers a harder blow, however, coming as it does from high within the ranks of the conservative establishment. Indeed, it is just the latest in a string of criticisms Romney has faced from the right's most influential media outlets in recent days, including The Wall Street Journal editorial page and the Weekly Standard.
"I don't feel that Mr. Romney has been doing himself any favors, say in the past few hours, perhaps since last night," Noonan told Fox News. "Sometimes when really bad things happen, when hot things happen, cool words or no words is the way to go."
 

Huyo ni RINO.

Hebu nitafutie alichosema Laura Ingraham au Eric Erickson wa redstate.com
 
Flames devouring the U.S. consulate in Benghazi




Moto ulioangamiza ubalozi wa Marekani katikati ya Mji wa Benghazi nchini Libya.
 
Last edited by a moderator:
Just yesterday I described for you how conventional wisdom is created. Reporters gather together and come up with it. Then they report it as news. One of the ways reporters do that is to work together to formulate questions between each other. They only have a limited amount of time and they all want a question that helps push the Gang of 500′s narrative. That leads to cross-network collaboration. They're all in it together.

Today, The Right School has exclusive audio of the Gang of 500 formulating their conventional wisdom with a question for MItt Romney. The narrative, pushed last night by the White House and rapidly picked up by reporters, is that Mitt Romney messed up with his statement. It was somehow inappropriate.


That's the conventional wisdom. LIsten now to the reporters trying to formulate a question together to play into the narrative they want.


I will stop here and point out that this is not intentionally liberal. It is just intentionally conventional wisdom development and group think. The problem is that the Gang of 500 - the group of reporters, analysts, and pundits who report on and formulate the conventional wisdom in Washington politics - leans left.


Another example of this is Michael Scherer at Time. It is lacking any mention of Barack Obama's inaction, mixed messages, and even his ridiculous hip-hop interview on 9/11.


Scherer is pushing the anti-Romney narrative the Gang of 500 has been formulating since getting marching orders from the White House talking points last night. And Scherer should be even more careful given his background. He's now a supposedly objective reporter, but he cut his teeth at the far left Mother Jones and also Salon.com. In this article from UC Santa Cruz you can get a sense of his background.


It's not just conservatives who think the media leans left and more and more this year the media is confirming every suspicion of most every American that they are as biased as conservatives have been saying all along.

Source
 
Ha ha ha...ngoja tusubiri Nov 06, ndio tutakata mzizi wa fitina. Nakuhimiza usiache kwenda kupiga kura!.
 
Mbona wao wanauwa watu hovyo, mbona wao wameshiriki kuua rais wa Libya, then wakafurahi sana.,
wewe acha kulilia jitu kama gadafi. hujui kuwa gadafi aliuwa sana raia wasio na hatika katika ndege ya Lockheed pale scotland? Hujui kuwa gadafi alituma magaidi kulipua ukumbi wa dico pale italia na kuuwa saskai wa marekani? sasa nani anuwa ovyo ovyo kama sio huyu mdini mwenzako?
 
You killed Ghadaf you are now paying the price...
 

HINI.. Labda niseme hivi kwamba ukristo na uisilamu ni dini zinazo lingana kwa kiasi fulani lakini ktk imani tofauti.Nasema zinalingana kwasababu wakristo mnamkubali yesu-( amani iwe juu yake ) kama vile waisilamu tunavomkubali yesu-(amani iwe juu yake)Lakini tofauti yake inakuja kutokana na maandiko tofauti kutokana na utofauti wa hizi dini mbili.Sisi waisilamu tunamtambua yesu(amani iwe juu yake)na kumthamini na ametajwa mara 90 kama sikosei, katika kitabu kitukufu ambacho tunakifuata QUR-AN.Na imetuthibitishia kwamba ni mtume au mjumbe wa mwenyezimungu kama waliotajwa wengine David,Abraham,Moses (amani iwe juu yao)na wengine wengi ambao mnawatambua ktk bibilia.Kwa hivo tofauti inakuja pale nyinyi mnapomtambua Yesu ni mungu (amani iwe juu yake) wakati sisi waisilamu tunamtambua kama mtume wa mwenyezi mungu.Lakini vilevile kunatofauti kati yenu jinsi ya kumtambua yesu (amani iwe juu yake)katika madhehebu mengine na kumtambua kama mwana wa mungu badala ya mungu au mtume wa mungu.Sasa mimi naona hapa haina maana watu kuwa na jazba ila ni vizuri kuwepo na mihadhara ya kuelimishana kwa amani na kuendelea na maisha ya kuamini vile tunavoamini bila ya kukasirikiana wala kushutumiana.Na kikubwa ni kuvumiliana kutokana na imani kutofautiana.Kwasababu tukiangalia wapo wengine waliomkataa yesu(amani iwe juu yake)kabisa na mfano ni mayahudi na wao ndio walio sababisha kuuliwa kwake au wapo wasio amini kitu chochote.Lakini inatupasa kuishi kwa pamoja na kuheshimiana pamoja na kuvumiliana.Ikiwa utapita ktk mhadhara au msikiti na kukana kwamba yesu(amani iwe juu yake) sio mungu,basi nakuomba uvumilie kwasababu ndio imani yao inavotambua na sio kama wana dharau ukristo.
 
Mkuu Richard, pole sana!.
 
Nina wasi wasi na suala hili, hapa uwenda kitafutwa kisingizio cha kuanzisha vita dhidi ya Iran. Na mkakati huu uwenda umeandaliwa na Netanyahu ili kulazimisha nembo ya White house-Obama kubadili msimamo wake wakuiunga mkono Israel ili iharibu vinu vya nyuklia vya Iran.

Si mnawajua Wayahudi walivyo mabingwa wa kupaka matope, hasa mkirejea suala ground zero-WTC-9/11 hapo Marekani lilivyotumiwa kufanya uhalifu kwa mataifa mengine ?

Msishangae kusikia intelijensia za watu wa Magharibi zikiibuka na habari ya "Agents wa Iran walihusika kumuua Balozi wa USA".
 
nimependa hii comment -



Kama ni propanga zao za uchaguzi! we don't care wameingia choo cha kike! ...
 
Mkuu Richard, pole sana!.

Mkuu, don't ever tell anyone how to think because its an insult.

In modern world people have different views and perceptions so be ready to accept that.

I've given my views on the incident and what I think is happening or will happen.
 
General Martin Dempsey, the chairman of the U.S. Joint Chiefs of Staff, called a Florida pastor on Wednesday and asked him to withdraw his support for a film whose portrayal of the Prophet Mohammad has been linked to violent protests - including one that ended with the death of America's envoy to Libya.

"In the brief call, Gen. Dempsey expressed his concerns over the nature of the film, the tensions it will inflame and the violence it will cause," Dempsey's spokesman, Colonel Dave Lapan, told Reuters.

link UPDATE 1-Top US military officer calls pastor over anti-Islam film | News by Country | Reuters
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…