Baadhi ya watu wa LIBYA wamekasirishwa na filamu iliyotengenezwa US inayodaiwa kumdhalilisha MTUME, wamelipua ubalozi wa US huko BENGHAZI, ambapo BALOZI wa US LIBYA, bwana STEVENS, aliyeteuliwa miezi minne tu iliyopita ni miongoni mwa WA US 4 waliouwawa. Ni suala la muda, hatua zitakazochukuliwa na US zitaonekana, naamini zitakuwa kali sana hasa ikizingatiwa kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi nchini US, na (1) OBAMA atatakakuwaonesha wa US kuwa ni AMIRI JESHI MKUU imara ... na (2) ROMNEY atataka ku-score pointi za kiisiasa kwa kusema kuwa OBAMA ni dhaifu, na OBAMA atataka kutumia nguvu kuonyesha kuwa ni ngangari ...