Mkuu Russia na US wote wanasapot magaidi.Mbona Russia anawapa silaha na kusapot Taleban. US anaunga mkono ISIS.Iran inaunga mkono Hezbollah. Israel inatibu ISIS.
Hivyo hakuna hata mwema sema tu wanazidiana.
Hapa wanaowindana ni U.S.A na RUSSIA, ktk proxy war.
.Me ni mkweli sina unazi wowote ule