OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,344
Tu-95 Bombers![]()
Jeshi la Urusi limefanya mashambulizi dhidi ya ISIS kwa makombora yake mapya Kh-101 strategic cruise missile. Sehemu za kuhifadhia silaha na kituo cha mawasiliano cha kundi hilo la kigaidi viliharibiwa.
Ndege za kijeshi za Urusi Tu-95 ziliruka toka kambi ya jeshi nchini Urusi kuelekea Syria huku zikijazwa mafuta angani kufanya mashambulizi hayo.
Kh-101 Cruise missile![]()
Makombora hayo ya Kh-101 yana uwezo wa kwenda hadi umbali wa 4500 km lakini mahali yalipofyatuliwa ni 1000km toka Syria
MY TAKE; Naona Syria imekua ni sehemu ya kila nchi kujaribu silaha zake kuanzia Marekani, Urusi, Israel, Uturuki, Iran, etc, baada ya Urusi sijui nan atafata kwenda kujaribu silaha yake mpya?!
Tanzania pia tukajaribu missile zetu hatutaki ujinga
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app