Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,788
- 22,134
Hahaaa! Putin tunamuona kuwa kiongozi bora kwa kuwa na msimamo imara, hapendi kuyumbishwa kwenye target zake, hataki demokrasia za kimagharibi za kuligawa taifa lake, pia warusi ni watu wenye nia moja na ujasiri sana!!Tatizo sio kupinga kila kitu Ila Africa haina Viongozi wazalendo Kama akina Putin.
Mtu inakuaje Mtu achote fedha akafanyie mradi au kununua kitu bila idhini ya Bunge,halafu watu wakihoji wanapigwa risasi
Huku kwetu mwingine anataka haki ya kutukana wengine, Mara maandamano ili hali wawakilishi wa kero ( madiwani na wabunge) wapo, SAA ngapi mtaelewana?