Funga bakuli lako maana nyinyi hata mkipewa elimu hamuelewiUsifikiri Urusi anaipenda Afrika, Urusi yenyewe ni rogue state. Tunamkumbuka vizuri kwenye vita vya Uganda, anadai kulipwa cash, Uganda anauziwa ndege vita, Tanzania tunauziwa makombora ya kuziangusha, yeye anahesabu noti tu. Nchi nyingi za kisoshalisti zimekuwa na mifumo ya uongozi mbovu kupindukia.
Kitu gani cha faida urusi alishawahi kuifanyia africa tangu dunia ianze. na kwa waliofika urusi au kuishi nchi za eastern europe, wataelewa ninachoongea, kwa asili tu watu wa huko ni wabaguzi mno kwa waafrica. ni kweli wamagaribi ni wajinga na ni mafirauni/mapunga lakini kwa upande mwingine wameifaidisha kwa kiasi fulani africa kuliko hata urusi. urusi anakuja africa kwasababu tu anahitaji kulipiza visasi kwa wamagaribi, isingekuwa hivyo asingekuja.Usifikiri Urusi anaipenda Afrika, Urusi yenyewe ni rogue state. Tunamkumbuka vizuri kwenye vita vya Uganda, anadai kulipwa cash, Uganda anauziwa ndege vita, Tanzania tunauziwa makombora ya kuziangusha, yeye anahesabu noti tu. Nchi nyingi za kisoshalisti zimekuwa na mifumo ya uongozi mbovu kupindukia.
Umemuacha iran au unatetea ulichokisikiaUfaransa ni gaidi mkubwa duniani
Kila alipoweka kambi matatizo hayaishi na yeye ndio anawafadhili wapinzani au magaidi kwa maslahi yake
Moja wapo ya faida zake ni hiyo kuwadhibiti magaidi kama alivyo fanya sasa Afrika magharibi kwa sasa ni tulivu.kitu gani cha faida urusi alishawahi kuifanyia africa tangu dunia ianze. na kwa waliofika urusi au kuishi nchi za eastern europe, wataelewa ninachoongea, kwa asili tu watu wa huko ni wabaguzi mno kwa waafrica. ni kweli wamagaribi ni wajinga na ni mafirauni/mapunga lakini kwa upande mwingine wameifaidisha kwa kiasi fulani africa kuliko hata urusi. urusi anakuja africa kwasababu tu anahitaji kulipiza visasi kwa wamagaribi, isingekuwa hivyo asingekuja.
Mi nadhani Urusi yupo sahahi maana wnatupa ndoano tukavue wenyewe, hayo mamisaada yamelaza akili zetu mpaka sasa hatujui tufanye nini kwa maisha yetu, acha Mrusi atukomaze na sisi tuje tuishi kama binadamu.Mkuu huna taarifa za kutosha juu ya mizozo ya w.Afrika .juzi tu kuna wanajeshi 10 wa mali wameuawa!!Yeye urusi anachofanya ni kuwapa kazi mamruki wa kundi la wagner kujifanya wanatoa mafunzo kwa majeshi yao.kitakacho tokea sasa ni nchi za ulaya kupunguza /kuacha kutoa misaada kwa nchi hizo.Na urusi pekee yake hatakuwa na uwezo huo.
Pumbav kabisa hujui lolote umeona West wanabanwa kende kila kona kimekuuma, jinyonge kama vpUsifikiri Urusi anaipenda Afrika, Urusi yenyewe ni rogue state. Tunamkumbuka vizuri kwenye vita vya Uganda, anadai kulipwa cash, Uganda anauziwa ndege vita, Tanzania tunauziwa makombora ya kuziangusha, yeye anahesabu noti tu. Nchi nyingi za kisoshalisti zimekuwa na mifumo ya uongozi mbovu kupindukia.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Sija sema matatizo yameisha kabisa ila wamepungua sana.Mkuu huna taarifa za kutosha juu ya mizozo ya w.Afrika .juzi tu kuna wanajeshi 10 wa mali wameuawa!!Yeye urusi anachofanya ni kuwapa kazi mamruki wa kundi la wagner kujifanya wanatoa mafunzo kwa majeshi yao.kitakacho tokea sasa ni nchi za ulaya kupunguza /kuacha kutoa misaada kwa nchi hizo.Na urusi pekee yake hatakuwa na uwezo huo.
Wapotee na misaada yao....mtu anakusaidia 100 huku anachukua 1000 ndo niniMkuu huna taarifa za kutosha juu ya mizozo ya w.Afrika .juzi tu kuna wanajeshi 10 wa mali wameuawa!!Yeye urusi anachofanya ni kuwapa kazi mamruki wa kundi la wagner kujifanya wanatoa mafunzo kwa majeshi yao.kitakacho tokea sasa ni nchi za ulaya kupunguza /kuacha kutoa misaada kwa nchi hizo.Na urusi pekee yake hatakuwa na uwezo huo.
Yaani KUKATWA GOVI under Bill and Melinda Gates ndo 7bu ya kuikashifu urusi? Unajua ni faida kiasi gani West watapata kupitia kukatwa kwako GOVI bure?kitu gani cha faida urusi alishawahi kuifanyia africa tangu dunia ianze. na kwa waliofika urusi au kuishi nchi za eastern europe, wataelewa ninachoongea, kwa asili tu watu wa huko ni wabaguzi mno kwa waafrica. ni kweli wamagaribi ni wajinga na ni mafirauni/mapunga lakini kwa upande mwingine wameifaidisha kwa kiasi fulani africa kuliko hata urusi. urusi anakuja africa kwasababu tu anahitaji kulipiza visasi kwa wamagaribi, isingekuwa hivyo asingekuja.
Kuwa mstaarabu unapochangia mada muhimu kama hizi,kutukana wenzio ni dalili ya upumbavu wa kiwango cha juu kabisa.Pumbav kabisa hujui lolote umeona West wanabanwa kende kila kona kimekuuma, jinyonge kama vp
Sasa unaleta upuuzi uachwe? Mbona umekuja na vumbi vipi au nawe umepata pihechidii ya mchongo? Humu ukileta upuuzi utazabuliwa tu.Kuwa mstaarabu unapochangia mada muhimu kama hizi,kutukana wenzio ni dalili ya upumbavu wa kiwango cha juu kabisa.
Jiheshimu kwa sababu huwa sina uvumilivu sana dhidi ya tabia za kiwaki waki kama hizi za kwako.Funga bakuli lako maana nyinyi hata mkipewa elimu hamuelewi
Naona umeamua kuwa SI Unit ya ujinga. Hakuna anayemchukia Urusi, ila kilichopo ni kuwa dunia imegawanyika katika makundi ya ki~ideology.Kila kundi lina mambo yake linaloamini na kuna faida ambazo kila nchi kwa kujiunga na kundi flan. Russia aliwahi kuwa na shirikisho lake likasambaratika. Hivyo unachokiona ni mgongano wa maslahi tu na hakuna anayetoa free lunch.Mlisha Lishwa Matangopori Mpaka mmekuwa kama Tumbili
Ungetuambia Kwann Mrusi achukiwe na hao !
Mrusi Anatetea Dunia Kutoka kwenye Ukoloni Mamboleo
compound idiot.Pumbav kabisa hujui lolote umeona West wanabanwa kende kila kona kimekuuma, jinyonge kama vp