elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,760
Nasubiri F-15 na F-35 kutoka Tel Aviv zije kukitembelea hicho kinu.
Hiyo luggage tu kazi inakujaNi kitu kizuri kutumia Nuclear kuzalisha umeme .Sio ule ujuha wa kutumia nuclear kutengeneza silaha za maangamizi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Changa la macho muda si mrefu
utasikia dude linajaribiwa likiwa
succesfull 100% sijui pale RIYADH
kashata harua zitalika kweli
Thubutuu...Nasubiri F-15 na F-35 kutoka Tel Aviv zije kukitembelea hicho kinu.
Hawawezi ishambulia wazi wazi kama wanavyofanya kwa wengine zaidi ya kutumia covert operations.Nasubiri F-15 na F-35 kutoka Tel Aviv zije kukitembelea hicho kinu.
Hahaha ama zile virusNasubiri F-15 na F-35 kutoka Tel Aviv zije kukitembelea hicho kinu.
Wanawatengenezea lakini hawataweza kuwapa ujanja wote kwa sababu ni hatari sana hata kwa Russia yenyewe ambaye ni jirani yako. Kwa iyo vijana kutoka Tel Aviv pale Israel Lazima watadhuru tuu, iwe kwa njia ya kutumia Virus au kulipua kama walivyo fanya mwanzo walituma virus vikaaribu system yote na yule Mama mtaaramu wa nyuklia alipigwa bomu akafaHii kitu urusi iko after money tu! hivyo ni Faida kwa urusi na hasara kubwa kwa iran...na ukweli utabakia project haiko salama...
Halafu wataalam wa hizo tech ni Wayahudi wa kirusi..[emoji38] [emoji38] kwa nini hawa watu hawajitambui??? Ukirejea Vita zote alizoshiriki mwarabu akisaidiwa na mrusi ni kushindwa tu...f'th column iko kazini [emoji38] [emoji38] [emoji38]Wanawatengenezea lakini hawataweza kuwapa ujanja wote kwa sababu ni hatari sana hata kwa Russia yenyewe ambaye ni jirani yako. Kwa iyo vijana kutoka Tel Aviv pale Israel Lazima watadhuru tuu, iwe kwa njia ya kutumia Virus au kulipua kama walivyo fanya mwanzo walituma virus vikaaribu system yote na yule Mama mtaaramu wa nyuklia alipigwa bomu akafa
Watu mnalishana matango pori hicho ni kinu cha pili kipo cha kwanza kinaitwa Bushar 1 vyote ni vyakuzalishia umeme.Wanawatengenezea lakini hawataweza kuwapa ujanja wote kwa sababu ni hatari sana hata kwa Russia yenyewe ambaye ni jirani yako. Kwa iyo vijana kutoka Tel Aviv pale Israel Lazima watadhuru tuu, iwe kwa njia ya kutumia Virus au kulipua kama walivyo fanya mwanzo walituma virus vikaaribu system yote na yule Mama mtaaramu wa nyuklia alipigwa bomu akafa
Kama wafanyavo Israel,N.korea na usNi kitu kizuri kutumia Nuclear kuzalisha umeme .Sio ule ujuha wa kutumia nuclear kutengeneza silaha za maangamizi.