Urusi: Padri mbaroni kwa kuhubiri amani

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,001
9,862
1646641383830.png

Padri wa Kanisa Katoliki, John Burdin wa Kijiji cha Karabanovo amejikuta matatani baada ya kukemea vita katika ibada aliyoiongoza Jumapili kanisani kwake. Atafikishwa mahakamani leo.

Padri huyo amekosoa mapigano yanayoendelea kati ya Urusi na Ukraine. Na amekuwa akipost picha za kupinga vita katika tovuti yake.

Polisi wamemtuhumu kwa kosa la kukosoa matumizi ya jeshi. Kukosoa matumizi ya jeshi ni jinai kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na Duma (bunge la Urusi) wiki iliyopita.

===​

Russian priest arrested for anti-war sermon​

In Russia, activist groups are reporting that a priest who gave an anti-war sermon on Sunday has been arrested and is due to face a court later today.

BBC Russia journalist Andrey Zakharov reported that Father John Burdin was detained shortly after he made a sermon to a small congregation in the vilalge of Karabanovo.

He’d preached against the war, described to locals the ongoing shelling and destruction in Ukrainian cities, and also shared anti-war images and a petition on the parish’s website.

Social embed from twitter​


Police have charged him with ‘discrediting the use of the Armed Forces’ -a criminal offence established by Russia’s state duma just last week.

Since the start of the war, there’s been a brutal crackdown on protest activities in Russia, where despite the risks thousands of people are still taking to the streets in dozens of cities to protest.

More than 13,000 people have been arrested so far, including over 4,600 on Sunday, local NGO trackers say.

Another tweet from Andrey shows the extent to which anti-war messages are being censored: Russian officials painting ice to cover a 'no to war' message etched into the ground:
 
kusema kweli mimi niko Russia 🇷🇺 100% tena ningekua naweza ningeenda kushika hata kifaru nikafanya yangu
Kichwa chako kinawaza upande wa kushabikia tu hujui chochote kwa sababu elimu yako ndipo ilipokomea, Sisi waislamu Quran imetukataza mauwaji yoyote yale kwa mtu ambaye hana hatia ya kuuliwa, awe kwa muislamu, mpagan au dini yoyote ile. nafkiri tunapoenda kupeleka mawazo yetu tunapaswa kurudi nyuma na kuangalia muumba anasemaje, haya mambo tayari yana hukumu zake hapa ndio pa kuanzia
 
kusema kweli mimi niko Russia 🇷🇺 100% tena ningekua naweza ningeenda kushika hata kifaru nikafanya yangu
Kiukweli tena hakuna kipindi ambacho nina amani ya moyo kama sasa naomba sana Putin aendelee kuwapumulia visogoni hawa mashoger wanaotuhonga neti huku wakisomba madini yetu
 
Back
Top Bottom