Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,522
Shetani anakutumia vibaya.Siku ya mwisho utajibu.weka ndani miaka 15 akija kutoka vita imeisha kima huyo ...
Shetani anakutumia vibaya.Siku ya mwisho utajibu.weka ndani miaka 15 akija kutoka vita imeisha kima huyo ...
acha makasiriko ndugu !Shetani anakutumia vibaya.Siku ya mwisho utajibu.
wapuuzi wengi hawajui madhara Urusi itakayoyapata hawa wapuuzi wakijiunga na USA&NATO wabuudu shetani wakubwa haoKiukweli tena hakuna kipindi ambacho nina amani ya moyo kama sasa naomba sana Putin aendelee kuwapumulia visogoni hawa mashoger wanaotuhonga neti huku wakisomba madini yetu
wewe ni mp...mbavu nikukuita mj...nga nitakua nimekupa thamani sana ...Kichwa chako kinawaza upande wa kushabikia tu hujui chochote kwa sababu elimu yako ndipo ilipokomea, Sisi waislamu Quran imetukataza mauwaji yoyote yale kwa mtu ambaye hana hatia ya kuuliwa, awe kwa muislamu, mpagan au dini yoyote ile. nafkiri tunapoenda kupeleka mawazo yetu tunapaswa kurudi nyuma na kuangalia muumba anasemaje, haya mambo tayari yana hukumu zake hapa ndio pa kuanzia
Madhara ya USA na NATO yanahusu nini kuuliwa kwa wananchi wa Ukrain???wewe ni mp...mbavu nikukuita mj...nga nitakua nimekupa thamani sana ...
unajua madhara ya USA&NATO katika Dunia hii wewe ?
unaleta Uislam mbele ya Waabudu Shetani ?
we ndio hujui unashabikia nini sio mimi
Kumuimbia mapambio muuaji putinKazi zao mapadri na maaskofu ni nini sasa? 😳
Hao watu tayari wameanza kuonja joto la vikwazo walivyowekewa na mataifa mengine ambapo Putin amedai ni "Declaration of War".
Russia wanaokufa ni mbuzi ?Madhara ya USA na NATO yanahusu nini kuuliwa kwa wananchi wa Ukrain???
Ungesubiri vita ya marekani na russia nchi hizi 2 ndio ukaleta huo mtazamo wako na kuegemea unakotaka, sasa wananchi wa ukraine wanapigwa mabom vichanga wanawake na watoto wanauliwa kinyama, ni jambo la kulaaniwa na kila mtu
Waislamu tunachukia mauaji si kwa sababu ya undugu,Russia wanaokufa ni mbuzi ?
mbona umekomalia Ukraine kuna Babu yako huko ?
Madhara ya vijana kuangalia movie za kivita, wanahs vita ni kama mchezo wa gameShetani anakutumia vibaya.Siku ya mwisho utajibu.
Ndio hivyo Mkuu, halafu vijana wengi hawajui uhalisia wenyewe kuhusu vita.Mimi nilikuwepo Burundi kipindi cha machafuko mwaka 2015,Ile haikuwa vita lkn nichoshuhudia kinanifanya niwe muoga wa vita na kuwa muumini wa kupenda Maridhiano badala ya vita.Vita inaacha doa lisilofutika, Kuna Watu wengi wasio na hatia, wanaangamia kwasababu ya vita,Damu yao inalia,hebu piga picha ni damu nyingi kiasi gani ambazo waanzilishi wa vita wanazibeba?!!.Madhara ya vijana kuangalia movie za kivita, wanahs vita ni kama mchezo wa game
wewe hujui kitu kasome tena Dini acha kuleta uislam mambo leo wewe ...Waislamu tunachukia mauaji si kwa sababu ya undugu,
ww huna dini ndio maanawewe hujui kitu kasome tena Dini acha kuleta uislam mambo leo wewe ...
kwani Uislam haujui vita ?
niwe nayo nisiwe nayo sio biashara yako kwa sababu wewe huna pepo wala moto wa kunipeleka ...ww huna dini ndio maana
Tuambie hayo madhara Urusi atakayo yapata..wapuuzi wengi hawajui madhara Urusi itakayoyapata hawa wapuuzi wakijiunga na USA&NATO wabuudu shetani wakubwa hao