Urusi ni taifa la aina gani?

Tupe historia ya eneo la siberia.
1. Watu wake(tamaduni)
2. Shughuli(biashara)
Nasikia siberia ni eneo lenye viumbe wanaopatikana hapo tu hawapatikani sehemu nyingine. Kuna ukweli?
 
Ni nchi yenye jimbo mpaka nnje ya mipaka ya urusi.jimbo la kalinigrad ni jimbo ambalo ili ufike ni lazima upite nchi nyingineView attachment 823703
Hilo Jimbo wakati mengine yakijitenga wao walikuwa wapi? Wenzao wa Estonia, Belarus, Lithuania, Azerbaijan, Kyrgyzstan, Kazakhstan na Armenia wanatoka wao walikuwa wamelala usiingizi wa pono.

Vv
 
dah
 
Hilo jimbo halikuwa na haki ya kujitenga maana halijawahi kuwa taifa, jimbo hilo walilichukua warusi baada ya vita kuu ya pili ya dunia ni jimbo la kimkakati sana hasa kijeshi, limejaa silaha za hatari sana hilo jimbo
 
Usipumbazwe na ukubwa wa hilo eneo. Sehemu kubwa ni barafu. Maeneo kama yale ya siberia ni barafu tupu huko. Hivyo 99% ya population hiko western part of the country.
ila kuna rasilimali kule hasa gas na mafuta na bado haijawa explored

kwa hiyo bado ni faida kwao
 
Hilo jimbo halikuwa na haki ya kujitenga maana halijawahi kuwa taifa, jimbo hilo walilichukua warusi baada ya vita kuu ya pili ya dunia ni jimbo la kimkakati sana hasa kijeshi, limejaa silaha za hatari sana hilo jimbo
na mkakati wake mkubwa hasa ni uwepo wa bahari
 
hahaaa asante chief" nimecheka mnooo hapo kwenye aya ya mwisho
 
Usipumbazwe na ukubwa wa hilo eneo. Sehemu kubwa ni barafu. Maeneo kama yale ya siberia ni barafu tupu huko. Hivyo 99% ya population hiko western part of the country.
Kwenye barafu huko kuna deposit ya mafuta na gesi mkuu kwa hiyo ukubwa unafaida vile vile.
 
Warusi ni wanywaji wazuri wa pombe kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…