Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,549
- 8,309
- Thread starter
- #21
Acha kutokwa na povu ww, nadhani hata mtoto wa darasa la saba hashindwi kujua kwamba USA ndo inafadhili boko haramu, Ina maana haujui kuwa USA imegoma kuiuzia siraha Nigeria kupambana na hilo kundi? Ni kwanini? Je unadhani kwa technologia waliyonayo USA wanashindwa kuwaona hata wale mabinti waliotekwa walipo? Acha ushabiki wa kijinga. Alafu wew nimeshakuona kwenye thread nyingi tu kazi yako ni kuitetea na kuipa sifa USA.
Hii dunia ni marekani tu ndo anatengeza na kuuza silaha eti! Kama US amegoma si wanunue kwingine pamoja urusi?! Ukweli urusi hawezi kuuza silaha kwa nigeria wakati huohuo anawapa silaha boko haram.
Kama unaanini US ina teknolojia ya kuwaona hao wanafunzi na je kwa uwezo wa russia hana hiyo teknolojia? Kama unahisi US anafanya makusudi kutosaidia kuokoa si aende huyu russia akafanye kazi hiyo!! Acha ushabiki wa kimbulula na nimeshakuona unapenda sana kuitetea russia tena unatetea kijinga kwa kuhusisha nchi ambazo hazimo hata kwenye suala husika, afu uwe unauliza maswali ya msingi sio kama hayo ya kipuuzi uliouliza hapo juu.