Urusi ndo mfadhili wa Boko Haram

Urusi ndo mfadhili wa Boko Haram

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,547
Reaction score
8,302
Licha ya kukanusha awali, Urusi imesema inamiliki ndege ya mizigo iliyozuiwa katika uwanja wa ndege wa Kano kaskazini mwa Nigeria baada ya kugunduliwa imebeba silaha ambazo hazikuwa zimearifiwa.

Hata hivyo, Msemaji wa Ubalozi wa Urusi nchini Nigeria, ambaye aliliambia Shirika la Habari la Urusi TASS kwamba wanamiliki ndege hiyo, amesema silaha hizo ni za kikosi cha kulinda amani cha Ufaransa.

Awali, msemaji wa kikosi cha kulinda amani cha Ufaransa katika Jamhuri ya Afrika ya kati alisema kwamba hawafahamu chochote kuhusu helikopta mbili, magari ya kijeshi na silaha nyingine zilizokuwa katika ndege hiyo.

Hata hivyo baadaye alipiga simu kufuta usemo wake kwa kusema kuwa ndege hiyo ilikuwa imebeba silaha kwa ajili ya wanajeshi wao, walioko katika kambi ya N'damena, ambazo zitapelekwa baadaye Ufaransa. Msemaji huyo alibadili kauli yake baada kushinikizwa kufanya hivyo na rais wa ufaransa ambaye alifanya mashauriano na rais wa urusi katika ziara yake nchini Urusi.

Msemaji wa Ubalozi wa Urusi mjini Abuja alisema pia ndege hiyo ni yao. Akitatanisha taarifa aliyoitoa awali kwamba ndege hiyo si yao.

Kwa nini Ufaransa inatumia ndege ya Urusi kubeba silaha zake? na kwa nini ilisimama katika uwanja wa Kano, wakati ikiwa inaelekea nchi jirani ya Chad na hata Cameroun ikitokea Afrika ya kati? Kwanini baadhi ya silaha hazikuorodheshwa katika ndege hiyo kama zimebebwa?

Hayo ni maswali yalioulizwa pande zote. Lakini wajuzi wa mambo wanafahamu kabisa hizo silaha zilikuwa zinapelekwa kwa wanamgambo wa boko haram,
Mbali na boko haram na makundi mengine ya kigaidi pia urusi ndo wanafadhili waasi wanaotaka kujitenga huko Ukraine.
 
Uongo mtupu,the plane cargo belongs to Russia but the plane was hired by French na mzigo ni wa French.US And its allies watahangaika sana kuichafua Russia.Nani hasiyejua Bokoharam was created by US na vikundi kibao vya kigaidi?

Wamemwaga mboga us & allies wake muda si mredu mrusi anamwaga ugali
 
Uongo mtupu,the plane cargo belongs to Russia but the plane was hired by French na mzigo ni wa French.US And its allies watahangaika sana kuichafua Russia.Nani hasiyejua Bokoharam was created by US na vikundi kibao vya kigaidi?

Sasa kwenye hili suala US inaingiaje?! Hivi kila habari ya dunia kuhusu maovu ya watu wengine ndo mmeshaona wakumsakizia ni marekani tu eti!! Haya hata kule ukraine marekani anafadhili wale separists sawa ee, nadhani ndo unapenda kusikia hivyo tu!
 
Uongo mtupu,the plane cargo belongs to Russia but the plane was hired by French na mzigo ni wa French.US And its allies watahangaika sana kuichafua Russia.Nani hasiyejua Bokoharam was created by US na vikundi kibao vya kigaidi?

Licha ya kukanusha awali, Urusi imesema inamiliki ndege ya mizigo iliyozuiwa katika uwanja wa ndege wa Kano kaskazini mwa Nigeria baada ya kugunduliwa imebeba silaha ambazo hazikuwa zimearifiwa.
Kwa nini walikanu awali?

Awali, msemaji wa kikosi cha kulinda amani cha Ufaransa katika Jamhuri ya Afrika ya kati alisema kwamba hawafahamu chochote kuhusu helikopta mbili, magari ya kijeshi na silaha nyingine zilizokuwa katika ndege hiyo.
Kwa nini na ufaransa awali ilikanusha?
 
Boko haram mpaka sasa hawamilliki NA hawawezi miliki choppa yakijeshi. Propaganda tu hizo
 
NI HIVI SEXER,Ukisoma reply yangu vizuri sijakataa the Plane belongs to Russia.Yes the plane belongs to Russia na mwanzoni walikataa siyo yakwao,huwezi tu kukubali ni chako bila kwenda kukagua.Russian diplomats & officials walivyokwenda kukagua,from there they confirmed it was their chartered plane.Na ilikodishwa na French KWA ajili ya weapons.
If u don't know it's a normal practice for chartered planes to do that and it is recognized internationally by law.
The weapons belong to French.

Read from PREMIUM TImes Nigeria

France admits ownership of military hardware aboard Chad-bound Russian plane detained in Nigeria

December 8, 2014Ogala Emmanuel

http://media.premiumtimesng.com/wp-...e-with-arms-5.jpg.pagespeed.ic.4Jlie774dG.jpg

The French Ambassador to Nigeria, Jacques Champagne de Labriolle, has issued a statement about the Chad-bound aircraft detained by Nigerian authorities at the Aminu Kano Airport in Kano.
In the statement, the ambassador admitted his country chartered the Russian aircraft to help it convey some military hardware from Bangui (Central African Republic) to Ndjamena (Niger).
He however said there were no arms and ammunition aboard the plane, contrary to earlier reports on the matter.

Read the full statement below.
“A Russian commercial plane carrying two light Gazelle helicopters belonging to the French Army has unexpectedly landed in Kano on Saturday December 6th, early in the afternoon.
The development can be explained as follows :
On 6 December, the French armed forces had chartered a flight on the Russian commercial company “224 Flight Unit”, to ship 2 light helicopters from Bangui to Ndjamena. The shipment is organized as the size of the French military intervention in CAR is being reduced, as was earlier announced by the French Authorities.
The cargo airplane, an Antonov 124, had a regular flight plan from Bangui to Ndjamena ; the flight was covered by a diplomatic clearance given by the Ministry of Foreign Affairs of the Federal Republic of Nigeria. The freight consisted of 2 ‘’Gazelle’’ helicopters (a 4 seater light liaison helicopter) with spare-parts and maintenance items. 2 French military non-commissioned officers escorted the equipment as passengers.
As the Antonov was approaching Ndjamena, the air traffic conditions were too dense to authorize the landing of the aircraft ; and the Antonov had to divert to an alternate international airport. The closest airport facility being Kano, the Russian crew decided to fly there, to refuel, and to take off again to reach Ndjamena Airport.
Due to the nationality of the aircraft, and the nature of the cargo, local airport Nigerian authorities in Kano have decided to check the flight plan, the clearance and the cargo manifest before authorizing the plane to leave. Official information has been supplied by the French Embassy in Nigeria. The Nigerian federal and airport authorities, being satisfied with the documents and the genuine character of the flight, have announced that the plane will be authorized to pursue its flight to Ndjamena.
Contrary to some press reports, there was absolutely no weapon, and no ammunition on board the aircraft.
The use of chartered flights of various nationalities for military cargo transport is a standard international practice : it is used by many nations, and is coherent with commercial competition to reduce the cost of such transport operations. The use of Russian companies to transport French military equipment is common practice.
As for the move of the helicopters between CAR and Chad, it is part of the French effort to support regional cooperation against terrorism, as agreed by the Heads of State of Nigeria, Niger, Chad and Cameroon during the security Summit held in Paris in May, 2014.”

http://www.premiumtimesng.com/news/...-bound-russian-plane-detained-in-nigeria.html
 
Boko haram mpaka sasa hawamilliki NA hawawezi miliki choppa yakijeshi. Propaganda tu hizo

Ndiyo walikuwa wanapelekewa hivyoo...!! Kama wanapata silaha za kawaida za kupambana kila siku mwisho wa siku watapata na silaha kubwa kubwa zikiwemo choppas!! Wanakoelekea si kuzuri kabisa, nashanga mataifa ya Africa wanaangalia tuu
 
Admin naomba m'badilishe heading ya hii topic ni uchochezi mkubwa na uongo.Hiyo ndege ya Russia ilikodishwa tu Kama ambavyo chartered planes duniani zinakodishwa.Weapons na waliokodisha ni French.Point of correction please!!
 
Mimi bado niko na Escrow tuuuuuu hayo mengine ni baadae

Ni upepo tu, hebu tukumbushane yaliyopita kama upepo.
1.Kesi ya Lulu baada ya dhamana bado unaifuatilia, imefikia hatua gani?
2Vipi ishu ya mhe Komba na picha za dem kule kinondoni, hivi zile picha bado unazo?
3. Ishu ya Richmond vipi bado unawakumbuka wote
4.Ile ya Ulimboka na madaktari bado mnaijadili kijiweni?
5.Vipi Jairo na kusukumwa na gari hivi unajua tena alipo?
6.Mwangosi na huyo Kubenea bado unaijadili?
7.Hivi unamkumbuka Kainerugaba Msemakweli aliishia wapi?
ha ha ha hii ndio bongo bana fanya kazi upate maendeleo yako usikomalie mambo yatakayopita tu.
 
Vikundi vyote vya Kigaidi msingi wake ni QURAN, kuna verse zinasema uue au ujiue ili uende ahela, nyie endeleeni kujitoa ufahamu kwa kuisingizia Marekani
 
Admin naomba m'badilishe heading ya hii topic ni uchochezi mkubwa na uongo.Hiyo ndege ya Russia ilikodishwa tu Kama ambavyo chartered planes duniani zinakodishwa.Weapons na waliokodisha ni French.Point of correction please!!

Kwa nini Ufaransa inatumia ndege ya Urusi kubeba silaha zake?
na kwa nini ilisimama katika uwanja wa Kano, wakati ikiwa inaelekea nchi jirani ya Chad na hata Cameroun ikitokea Afrika ya kati?
Kwanini baadhi ya silaha hazikuorodheshwa katika ndege hiyo kama zimebebwa?
 
Vikundi vyote vya Kigaidi msingi wake ni QURAN, kuna verse zinasema uue au ujiue ili uende ahela, nyie endeleeni kujitoa ufahamu kwa kuisingizia Marekani

Aisee hawa watu wanashangaza sana, watu wanaowapenda wao ni malaika hafanyi maovu make wakihusishwa na ovu lolote utasikia wanasingizia marekani!!
 
Mimi bado niko na Escrow tuuuuuu hayo mengine ni baadae

Hata waescow mara ya kwanza walikataa hivihivi kama urusi lakini baadae wakaumbuka!
 
Admin naomba m'badilishe heading ya hii topic ni uchochezi mkubwa na uongo.Hiyo ndege ya Russia ilikodishwa tu Kama ambavyo chartered planes duniani zinakodishwa.Weapons na waliokodisha ni French.Point of correction please!!

Eti ni uongo!! We ulitarajia urusi wakubali walikuwa waniwapekea silaha maswahiba wao boko haram!! Make hata kule ukraine urusi mara ya kwanza walikataa hawasaidii waasi lakini sasa kila kitu kiko wazi, warusi haohao walidungua ndege ya malaysia afu wakakanusha ila ukweli ndo huo, au kwa akili yako unafikiri urusi ni watakatifu mno?!!
 
Kwa nini Ufaransa inatumia ndege ya Urusi kubeba silaha zake?
na kwa nini ilisimama katika uwanja wa Kano, wakati ikiwa inaelekea nchi jirani ya Chad na hata Cameroun ikitokea Afrika ya kati?
Kwanini baadhi ya silaha hazikuorodheshwa katika ndege hiyo kama zimebebwa?

Hivi wewe kingereza unajua?Umesoma hiyo habari hapo juu niliyokuwekea?Unafahamu sheria Za kimataifa Za kukodisha chartered plane?Unafahamu hata UN inakodishaga chartered plane kusafirishia silaha?Siyo tu Za Russia zinatumika hata Za nchi nyingine za kitajiri zinakodishwaga Pia.Nenda kagoogle ujifunze mambo mengine au tafuta chuo cha diplomacy popote usome.Zero % thinking.
 
Sasa kwenye hili suala US inaingiaje?! Hivi kila habari ya dunia kuhusu maovu ya watu wengine ndo mmeshaona wakumsakizia ni marekani tu eti!! Haya hata kule ukraine marekani anafadhili wale separists sawa ee, nadhani ndo unapenda kusikia hivyo tu!

Acha kutokwa na povu ww, nadhani hata mtoto wa darasa la saba hashindwi kujua kwamba USA ndo inafadhili boko haramu, Ina maana haujui kuwa USA imegoma kuiuzia siraha Nigeria kupambana na hilo kundi? Ni kwanini? Je unadhani kwa technologia waliyonayo USA wanashindwa kuwaona hata wale mabinti waliotekwa walipo? Acha ushabiki wa kijinga. Alafu wew nimeshakuona kwenye thread nyingi tu kazi yako ni kuitetea na kuipa sifa USA.
 
Hivi wewe kingereza unajua?Umesoma hiyo habari hapo juu niliyokuwekea?Unafahamu sheria Za kimataifa Za kukodisha chartered plane?Unafahamu hata UN inakodishaga chartered plane kusafirishia silaha?Siyo tu Za Russia zinatumika hata Za nchi nyingine za kitajiri zinakodishwaga Pia.Nenda kagoogle ujifunze mambo mengine au tafuta chuo cha diplomacy popote usome.Zero % thinking.

kwa nini ilisimama katika uwanja wa Kano, wakati ikiwa inaelekea nchi jirani ya Chad na hata Cameroun ikitokea Afrika ya kati?

Kwanini baadhi ya silaha hazikuorodheshwa katika ndege hiyo kama zimebebwa?
 
Back
Top Bottom