Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,521
- 3,782
Huyo mmarekani aliyechemsha kwa wanamgambo wa Telebani??Hakuna nchi yenye ubavu wa kupambana na USA. Russia amalizane Kwanza na Ukraine aache ujinga. Anaiwaza marekani wakati Ukraine imetait kisaswasa.
Maliza ya chooni kwanza siyo kupayuka akati unakata gogoZile drone Putin anaonyeshwa kwamba hayuko salama anga lake akileta fyokofyoko zaidi atashughulikiwa on the spot, sasa kama ni Washington basi putini arushe japo kajiwe kadogo kule Marekani kama hatashuhudia vumbi Kremlin
Si ndio wametuma salamu Kwa drones ? kama ninyi mashababi sogezeni pua zenu hata Alaska tu maana Marekani wana mpaka na RussiaKuwa na akili basi hata kidogo. Kusema vile haimaanishi kwamba waliofanya hilo jaribio sio Ukrainians. Kuna uwezekano wa Ukrainians waliingia Moscow kwa mission maalumu
Kwanini wakimpa silaha Zelensky wanamwambia chondechonde usipige ndani ya urusi???Si ndio wametuma salamu Kwa drones ? kama ninyi mashababi sogezeni pua zenu hata Alaska tu maana Marekani wana mpaka na Russia
Hawawezi kujaribu huo ujinga , as the matter of fact watu wengi hamna wanachojua kuhusu warfare na Marekani ,hamna taifa linaweza na linatamani kupigana vita na Marekani ni suicide , Marekani ana military bases 800 + ukiachilia mobile military ships na submarines ambazo nazo tu ni ngome za kivita na launching pads za missiles na aina nyingine ya silaha nzito dhidi ya adui yake ,so hii inalifanya taifa la Marekani kuwa na uwezo wa ku lpigana vita Kona yoyote dunia hii , pia global satellite and telecommunications recounasance system ambayo ni unparraled dunia nzima , so we unalaunch hivyo vitakataka vyako wakati anajua locations zake na kila kinachoendelea kwako , atakutwanga na kukusambaratisha vibaya kabla hata hujafanya ulichowaza ,wewe ukijidai unalaunch missiles kupiga USA wao wana ngome zao karibu na wewe na washakunyoosha vibaya mno mapema.Hata North Korea ana mabomu hatari lakini hakuna kati yao mwenye ujasiri wa kushambulia eneo la ardhi ya Marekani. Hilo lipo hivyo iwe unapenda kulisikia au hupendi linabaki kuwa hivyo.
Unadanganywa sana na sinema. Kwenye uhalisia marekani ni joka la kibisa. Angalia anavyoumbuka hapo Ukraine yahani maneno mengi vitendo ziloHawawezi kujaribu huo ujinga , as the matter of fact watu wengi hamna wanachojua kuhusu warfare na Marekani ,hamna taifa linaweza na linatamani kupigana vita na Marekani ni suicide , Marekani ana military bases 800 + ukiachilia mobile military ships na submarines ambazo nazo tu ni ngome za kivita na launching pads za missiles warfareba aina nyingine ya silaha nzito dhidi ya adui yake ,so hii inalifanya taifa la Marekani kuwa na uwezo wa ku lpigana vita Kona yoyote dunia hii , pia global satellite and telecommunications recounasance system ambayo ni unparraled dunia nzima , so we unalaunch hivyo vitakataka vyako wakati anajua locations zake na kila kinachoendelea kwako , atakutwanga na kukusambaratisha vibaya kabla hata hujafanya ulichowaza ,wewe ukijidai unalaunch missiles kupiga USA wao wana ngome zao karibu na wewe na washakunyoosha vibaya mno mapema.
Uncle Sam sio zwazwa ,pesa anayotumia kuendesha hizo ni combined Gdp sijui ya nchi ngapi ,acheni utani kabisa na hilo taifa
Unorganized warfare za wanamgambo na organized warfare ni vitu viwili tofauti ,huyo Urusi hao wataliban alipovamia walimfanya nini , wale wavaa kobaz wa chechnyaHuyo mmarekani aliyechemsha kwa wanamgambo wa Telebani??
Una wazimu , hujui unachoongea ,kama unadhani ni movies endeleaUnadanganywa sana na sinema. Kwenye uhalisia marekani ni cha mdolo sana. Angalia anavyoumbuka hapo Ukraine yajani maneno mengi vitendo zilo
As if ana ubavu wa kutumia hizo nukes ,nchi inayotishia nukes ni ya kipumbavu ukitumia nukes unafutwa kwenye uso wa dunia ,nchi masikini kama Pakistan Tu wana silaha za nuclear ,yeye anamtisha nani na nukes ?Russia kachanganyikiwa. Amebakia kutishia Nuclear.
Madikteta kelele nyingi hawana loloteKwamba wamejiuliza zimefikaje Ikulu wakaona bora waseme Marekani maana huo uwezo upo.
Mbona kasharusha mapema tu na tumeua zaidi ya 20Urusi atapeleka hasira zake kwa UKRAINE ndio mnyonge wake atarusha makombora ya kutosha
Anapigana na mataifa 30Urusi ni nyoka wa kibisa.
Hata marekani wenyewe wamewashauri Ukraine kutokufanya hivyo Kwa Sababu wanaakili.wanajua kitakachotokea Ukraine wakivuka mstari mwekundu.Ukraine ianze kutembeza kipondo kizito ndani ya Urusi ,hiyo ndio namna bora ya kudeal na agressor
Huna AkiliDogo Zele apewe missiles na figher jet ,opereseheni ya kumng'oa dikteta mwendawazimu wa kremlin ianze
Jana usiku Kiev ikipigwa Kwa milipuko huku Kherson ya Ukraine watu 12 Waliuawa Kwa Sababu ya hizo drone ambazo hazikuwa na madhara.
Hamn madhara yoyote kuna air defence system wakati Ukraine wengi walipoteza Maisha Kwa Sababu ya ugaidi WA serikali Yao.
OoohMtoa mada unatabia ya kuleta habar nusunusu ili tuijadili unavotaka wewe
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Asipelekwe kokote kwani yeye ni Mungu labda ni Mungu wenu mnamuona hawezi kupelekwa kokotePutin hawezi kupelekwa popote.