ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Trump mwenyewe huko kwao ana majanga kibao...Naona ndo maana Putin alitulia kwanza pale Obama alipowapa maofisa wake 48 hrs. Kusubiria uongozi wa Trump kama ungekuwa na jipya.
Yani vikwazo vitaendelea tu kuwepo maana Urusi hatakubali kuiachia Crimea.