URUSI kushinda vita

URUSI kushinda vita

Hawajashindwa sema zele alikuwa anasita sita kujiunga NATO, kma kweli huyo Putin wako ni kidume avamie taifa lolote lililojiunga nato..

Ndipo uje kubwabwaja hapa...😄😄
Acha kukariri, NATO kwasasa wanaiogopa Urusi kama ukoma. Sanasana nchi za NATO zilizopo ulaya hakuna nchi hata moja inayotamani kuweka mzigo na Urusi.

Baba lao USA anaogopa kuutumia uwanja wa vita (Ukraine) kujipimisha ubavu na mwamba Putim
 
hii Vita itaisha kwa maridhiano , hapatakuwa na mshindi. marekani na NATO yake hatakuwa tayari kupoteza kuona Russia anashinda , pia Russia hayuko tayari kupoteza, yaani hapa kila mmoja anaouwezo wa kumfanya mwingine asishinde na ndio hapo hapatakuwa na mshindi kitakachofanyika ni maridhiano , na soon wataweka maridhiano tu.
Sahau, hakuna malidhiano hapo. Hapo Ukraine ni kupata kipondo mpaka wanyooshe mikono juu
 
Nonsense wakati nchi 100 za ulaya na Marekani zimeshindwa wewe wa nchi ovyo utaweza nini
Hizo nchi mia unazijua?. Ni aibu Sana kwa Urusi mwaka wa pili anahangaika tu. Alidhani Ukraine angeichukua kwa siku tatu. Mjinga kweli Urusi.
 
Hizo nchi mia unazijua?. Ni aibu Sana kwa Urusi mwaka wa pili anahangaika tu. Alidhani Ukraine angeichukua kwa siku tatu. Mjinga kweli Urusi.
Nani amekuambia urusi anataka kuchukua Ukraine yote?urusi anataka Ukraine awe neutral lakini Ukraine amekata ndo maana ameamua kuchukua baadhi ya maeneo kutengeneza buffer zone.hakuna nchi inayoweza kumeza nchi nyingine sasa hivi.
 
Acha kukariri, NATO kwasasa wanaiogopa Urusi kama ukoma. Sanasana nchi za NATO zilizopo ulaya hakuna nchi hata moja inayotamani kuweka mzigo na Urusi.

Baba lao USA anaogopa kuutumia uwanja wa vita (Ukraine) kujipimisha ubavu na mwamba Putim
Kama wanamuogopa wasingempatia zele siraha tena wakifahamu kuwa siyo mwanachama wao ila bado hawaachi kumsaidia.

Dikteta putin aliishaonya lakini wanaume ndiyo kwanza wanakaona kama cartoon vile ...
 
Urusi wanategemea vita kuisha 2025, wana bet kwenye uchaguzi wa Marekani.
 
Apige Sasa mwanachama wa NATO Kama anao uwezo.
Mrusi anapigana kwa akili sana.NATO nao waliona wanapigana kwa akili kwa kuisogelea urusi siku baada ya siku.Akili yao imekuwa mavi sana.
 
Ashinde mara ngapi,kupigana kwenye ground kwa Russia ni jambo jepesi.Vita kubwa ilikuwa hicho kihunzi cha kiuchumi ambapo Russia ameibuka kidedea-hapo ndipo palikuwa pagumu.
 
Wewe naye ni kilaza tu, unasema kwa mfano Rwanda au Kenya wasijiunge na kambi wanazoona zina faida kwao kisa hizo kambi ni adui wa Tanzania?

Yaani ujuhi hata unachokisema, ukosefu wa elimu ni hatari sana kwa Taifa aise!
Wewe ndio hufahamu unacho kiongea na wewe ndio ulitakiwa upate elimu,mfano wako hauna mantiki huwezi ilinganisha Rawana vs Kenya na Russia.
Ndio maana hayo unawaona wakubwa kiuchumi wanaungana dhidi ya Taifa mmoja.
 
hii Vita itaisha kwa maridhiano , hapatakuwa na mshindi. marekani na NATO yake hatakuwa tayari kupoteza kuona Russia anashinda , pia Russia hayuko tayari kupoteza, yaani hapa kila mmoja anaouwezo wa kumfanya mwingine asishinde na ndio hapo hapatakuwa na mshindi kitakachofanyika ni maridhiano , na soon wataweka maridhiano tu.
Hivi ni kitu gani mnachotaka ashinde
 
Nasema Russia wakishinda hii vita basi ujue ndio mwisho wa NATO , na USA , na atanogewa kuchukua maeneo mengine ya nchi jirani kama Poland ,Sweden , Finland na atazidi kujipanua zaidi, ndio maana USA na NATO wameamua kufa na kupona kwenye hii vita
Umeota nini leo mkuu? wewe unaskia makamanda wa Urusi hadi wanakamatwa bado una matumaini urusi ashinde vita
 
Back
Top Bottom