URUSI kushinda vita

URUSI kushinda vita

hii Vita itaisha kwa maridhiano , hapatakuwa na mshindi. marekani na NATO yake hatakuwa tayari kupoteza kuona Russia anashinda , pia Russia hayuko tayari kupoteza, yaani hapa kila mmoja anaouwezo wa kumfanya mwingine asishinde na ndio hapo hapatakuwa na mshindi kitakachofanyika ni maridhiano , na soon wataweka maridhiano tu.
Majimbo matatu yaliyojiunga Urusi ndiyo ushindi wenyewe.Maridhiano hayatagusa majimbo hayo aliyochukua Mrusi,zingatia hili.
 
US lead NATO hawawezi kwamwe kushinda katika hii vita.
Nasema Russia wakishinda hii vita basi ujue ndio mwisho wa NATO , na USA , na atanogewa kuchukua maeneo mengine ya nchi jirani kama Poland ,Sweden , Finland na atazidi kujipanua zaidi, ndio maana USA na NATO wameamua kufa na kupona kwenye hii vita
Ukraine nzima inaenda kukombolewa dhidi ya utawala wa neo- Nazi regime.

Majimbo matano Kremlin keshayakomboa so far(tizama ramani hapo chini). Mpaka 2025, hatutakuwa na Nchi inayoitwa Ukraine dunia
IMG_20230929_212504.jpeg
 
Nasema Russia wakishinda hii vita basi ujue ndio mwisho wa NATO , na USA , na atanogewa kuchukua maeneo mengine ya nchi jirani kama Poland ,Sweden , Finland na atazidi kujipanua zaidi, ndio maana USA na NATO wameamua kufa na kupona kwenye hii vita
Hivi kuna mtu alishawahi kufa baadae akapona?
 
Kama alivyochukua Creamia akanogewa kama anakula bone marrow, kwa kipindi hichi cha kuivamia kyev , hakujua kama washirika walikuwa wanamlia chabo na ule msafara wake ,
Msafara wa Urusi ulikuwa unakwenda ktk Yale Majimbo anayomiliki muda huu na walipewa wanamgambo wajilinde.
Ktk ule msafara hakuwepo member wa red army bali Vijana waliotaka kujiunga na Jeshi. Watoto wadogo wa vyuo. Na hakutarajia kama atapata upinzani toka Ukraine . Alidhani Jeshi litajiwalimisha.
 
Tukipewa misaada kama anavyopewa Ukraine, mbona mrusi tunamkalisha mapema tu.
Kwa iyo unaona Ukraine anakosea?.njia pekee ya kumaliza vita na Urusi ni kukubali kukaa nae mezani ila tofauti na hapo mtachoka wenyewe.yeye anunui silaha bali viwanda vipo kwake na si kimoja.

Sasa wewe unasubiri kuletewa unategemea utaweza kumtoa kwenye ardhi yako.
 
Back
Top Bottom