Urusi kupigwa marufuku kushiriki Euro2016

Babu wa Kambo

JF-Expert Member
May 2, 2016
559
808
Urusi huenda ikapigwa marufuku ya kushiriki mechi za Euro za mwaka 2016 kutokana na fujo zilizosababishwa na mashabiki wake siku ya Jumamosi wakati wa mechi kati ya Urusi na Uingereza mjini Marseille.

Maafisa wa shirikisho la kandanda barani ulaya, Uefa, pia wameipiga Urusi faini ya euro 150,000.

Uefa ilisema kuwa adhabu hiyo itatekelezwa ikiwa ghasia kama hizo zitatokea tena katika mechi za Urusi zilizosalia.

Urusi pia imaedhibiwa kwa visa vinavyohususu ubaguzi wa mashabiki na ufyatuaji fataki wakati wa mechi.

160613032325_football_fans_624x351_getty.jpg


Chanzo: BBC Swahili
 
Back
Top Bottom