Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,768
Hiyo ni HISTORIA budaaa.....Nchi gani nyingine yenye nguvu unayoijua tofauti na Urusi kwenye uwo muungano uliyovunjika?.... .
Urusi alikuwa ndo kila kitu kwenye uwo Muungano hata silaha zote za nuclear alichukua zote yeye baada ya kuvunja muungano............
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
MAREKANI na NATO walichukua miaka zaidi ya 2 kupambana na Islamic state na bado jamaa wakawa na nguvu kila kukicha....... Ila ilimchukua URUSI miezi 6 tu Islamic state ikabaki jina tu.....Hiyo ni HISTORIA budaaa.....
Kumbuka JESHI JEKUNDU lilikuwa na ASKARI wengi kutoka NCHI ZA BALKAN....
Na kumbuka nchi hizo nyingi Kama AZERBAIJAN ya sasa ina watu wenye damu ya PERSIA...na mapersia wanajulikana kwa UJASIRI....ukitaka ujue waulize WAARABU wanywa maziwa ya ngamia watakueleza mziki wa WATURUKI na WAFURSI....
Man power ya URUSI imepungua Sana baada ya USSR kuvunjika....
Unajua lakini kazi ya hayo madude?....hayo madude ni sawa tu na uwanja wa ndege wala hayana maana nyingine tofauti na hayo ndugu.mi nilijua unanionyeshea silaha gani kumbe umekuja na hayo madudeView attachment 1625973
Hizi ngoma US wanazo 11 duniani kote....
Hakuna ZWAZWA yeyote mwenye nazo bora na IDADI hiyo shubaaamit.....
Putin ATASUBIRI SANA....
Long live US....
Long live Biden....
Long live MAGUFULI...
Maendeleo hayana vyama!!
Mkuu mbona UNAPINDUAPINDUA?!!Mwaka 1999 majeshi ya Nato yalifika kwenye uwanja wa ndege wa Kosovo wakakuta Warusi washauchukua uwanja wa ndege wa Kosovo.General wa Nato akamwambia General wa Urusi kuwa tumetumwa tuje kuchukua Airport kwa iyo mnatakiwa kuondoka na majeshi yenu.......
General wa Warusi akajibu kuwa tumeambiwa kuwa ili mtu mwingine achukue uthibiti wa huu uwanja basi sisi tuwe tumekufa muda uwo.General wa Nato akapiga simu makao makuu, akambiwa arudishe majeshi wala asije akafanya chochote kile.........
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
We una akili kweli......Nato walivamia YUGOSLAVIA wakawa wanawasaidia waasi wa kosovo.... Walituma ndege vita kupiga majeshi ya YUGOSLAVIA ili jimbo la kosovo liwe huru.wewe unasema walienda kulinda amani.....iyo taarifa umeitowa wapi ndugu?Mkuu mbona UNAPINDUAPINDUA?!!
It's true RUSSIA walifika kabla ya NATO...ila unajua ya kuwa NATO walikuwa PEACEKEEPING kama jamaa zetu MONUSCO kule Kongo?!!!
Detarchment ya kwanza kufika ilikuwa ni hao WAINGEREZA(NATO) na Wala hakukuwa na mapambano...ikumbukwe kuwa NATO haikwenda KUPIGANA bali kuleta AMANI na kuwalinda WAKOSOVO?!!!
Mkuu....Unajua lakini kazi ya hayo madude?....hayo madude ni sawa tu na uwanja wa ndege wala hayana maana nyingine tofauti na hayo ndugu.mi nilijua unanionyeshea silaha gani kumbe umekuja na hayo madude
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Mkuu....We una akili kweli......Nato walivamia YUGOSLAVIA wakawa wanawasaidia waasi wa kosovo.... Walituma ndege vita kupiga majeshi ya YUGOSLAVIA ili jimbo la kosovo liwe huru.wewe unasema walienda kulinda amani.....iyo taarifa umeitowa wapi ndugu?
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Kwa kukuongezea tu kwa Mara ya Kwanza ndege isiyonekana kwenye rada F-117 Nighthawk stealh ya MAREKANI ilitunguliwa na mfumo wa kizamani wa jeshi la YUGOSLAVIA aina ya S-125 neva/pachora....Mkuu mbona UNAPINDUAPINDUA?!!
It's true RUSSIA walifika kabla ya NATO...ila unajua ya kuwa NATO walikuwa PEACEKEEPING kama jamaa zetu MONUSCO kule Kongo?!!!
Detarchment ya kwanza kufika ilikuwa ni hao WAINGEREZA(NATO) na Wala hakukuwa na mapambano...ikumbukwe kuwa NATO haikwenda KUPIGANA bali kuleta AMANI na kuwalinda WAKOSOVO?!!!
Walipeleka jeshi ili kuwasaidia Wakosovo wawe huru ila wao walifanya unyama zaidi maana walikuwa wanapiga mabomu kila sehemu mpaka kwenye hospitali wao walikuwa wanapiga mabomu tu.......Mkuu....
Unajua ya kwamba bila NATO kwenda basi YUGOSLAVIA ingewamaliza WAKOSOVO wa ALBANIA?!!!
NATO washukuriwe kwa kuwahami WAKOSOVO WA ALBANIA wasichinjwe na kuwa EXTERMINATED....
Ile move ilikuwa totally for humanitarian purpose Mkuu wangu....
Sawa Mkuu...Kwa kukuongezea tu kwa Mara ya Kwanza ndege isiyonekana kwenye rada F-117 Nighthawk stealh ya MAREKANI ilitunguliwa na mfumo wa kizamani wa jeshi la YUGOSLAVIA aina ya S-125 neva/pachora....
Lilikuwa tukio la kushangaza sana na pigo kwa jeshi la Marekani
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Mkuu....
Warusi wanajitapa na RS-24 ICBM....
Ushamba wao ni maonyesho kubebwa na MALORI(trucks) ambazo si imara kama za MAREKANI....
Za US hazibebwi na vilori uchwara...na Kama wakibeba ujue kuwa ICBM zinakuwa Katika Yale MALORI yaliyojengwa kwa DHAHABU...
We umejuaje kama za URUSI sio bora ndugu wakati katika top 10 zipo za WARUSI ndo zinaongoza au wewe unajua sana kuliko waliyoweka listi ?......Sawa Mkuu...
Ninakubali Hilo....
Ila....
US hawataki mfumo wa ardhini was makombora kubebwa na MALORI kama wa URUSI NA CHINA....
Kwa sababu US wamegundua ni rahisi sana MAGARI hayo KUDUNGULIWA na ndio mana was makombora ya INTERCONTINENTAL BALLISTIC MISSILES(ICBM) wanayatengeneza kwa mfumo wa SILO....huu ni ngumu KUNG'AMUA uwepo wa YALIPO....japo URUSI nao anao ila HANA SILO bora na nyingi kama superpower US....
Mkuu I stand with NATO kwa walichokifanya zile siku zaidi ya 75....Walipeleka jeshi ili kuwasaidia Wakosovo wawe huru ila wao walifanya unyama zaidi maana walikuwa wanapiga mabomu kila sehemu mpaka kwenye hospitali wao walikuwa wanapiga mabomu tu.......
Wao walifanya unyama zaidi
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile ap
Umuhimu wake ni kutukumbusha kuwa US iko mbele sana zaidi ya hiyo MIKOMUNISTI ya MOSCOW....
Mkuu I stand with NATO kwa walichokifanya zile siku zaidi ya 75....
Unajua kuwa SLOBODAN MILOSEVIC alishakuwa karibu KUWAFUTA wakosovo waalbania?!!!
Alishataka kufanya ETHNIC CLEANSING...GENOCIDE....
Yaani ni sawa na IRAN ilivyotishia kuwafuta WAISRAEL...unategemea dunia ikae kimya?!!!
Zile nguvu walizozitumia zilikuwa ni sahihi kuwahami RAIA wasiokuwa na NGUVU....
Kwanza Milosevic alikuwa hapigani tu na ASKARI "WAASI" wa KOSOVO bali KUCHINJA raia wasiokuwa na SILAHA....man.nninaa zake....
Nimekujibu kwenye hiyo comment Nyingine....We umejuaje kama za URUSI sio bora ndugu wakati katika top 10 zipo za WARUSI ndo zinaongoza au wewe unajua sana kuliko waliyoweka listi ?......
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Nimekuliza kuwa umejuaje kuwa sio bora ?...Umuhimu wake ni kutukumbusha kuwa US iko mbele sana zaidi ya hiyo MIKOMUNISTI ya MOSCOW....
Nakubaliana na wewe Katika jambo moja kuwa WARUSI wana makombora ya ICBM mazito(weight) zaidi ya wengine duniani ila SI KWA UBORA....