Sexer huwajui vizuri Marekani! Utaishia kuwashabikia ki-ndezi tu! Tambua kuwa very soon, Uturuki watakuwa kwenye mzozo mkubwa wa ki-diplomasia na Marekani, the main cause being ile failed coup ya ijumaa iliyopita. Unafiki wa Marekani umedhihirika hatimaye.
In addition, usitarajie kwa situation ya sasa ya Post-Coup Turkey, Western Mainstream Media zikupe habari sahihi. Kwa hizo media, huu ni wakati wa funika kombe mwanaharamu apite.
Marekani inabidi atumie akili ya ziada ku-repair uhusiano wake na Uturuki, la sivyo, US Middle East Policy itapata mtanziko mkubwa sana.