Urusi inaonewa sana ila ni Imara

Urusi inaonewa sana ila ni Imara

bily

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
8,029
Reaction score
5,814
Mungu amtupi mja wake hizi mbwembwe za kuonea Urusi zinasababishwa na political matters, hii vita vya kimichezo ni rahisi mno kwa Putin watashindana lakini hawatashinda.

"US WILL COME TO TALK WITH US WHEN THEY HAVE BLACK PRESIDENT AND THE WORLD HAS LATIN POPE" FIDEL Castro
 
Mungu amtupi mja wake hizi mbwembwe za kuonea Urusi zinasababishwa na political matters, hii vita vya kimichezo ni rahisi mno kwa Putin watashindana lakini hawatashinda.

vita ya michezo si rahisi kwa putin acha uongo, US ndo nchi inayoongoza kimichezo duniani. fuatilia nchi inayoongozaga kwa kuzoa medali kwenye michezo ya olympic utapata jibu
 
Mimi kinachoniuma ni uturuki kuionea marekani.
Kuwaweka chini ya ulinzi wanajeshi 2000 wa marekani na wakabaki wameunyuti huku obama akimbembeleza crazy Endorgan awaachie
 
Mimi kinachoniuma ni uturuki kuionea marekani.
Kuwaweka chini ya ulinzi wanajeshi 2000 wa marekani na wakabaki wameunyuti huku obama akimbembeleza crazy Endorgan awaachie

waturuki ni waonevu sana, walidungua chopa ya urusi bila huruma, ila na wenyewe walikipata kwa muisrael kwenye ile meli yao iliyokuwa inaelekea gaza
 
Mimi kinachoniuma ni uturuki kuionea marekani.
Kuwaweka chini ya ulinzi wanajeshi 2000 wa marekani na wakabaki wameunyuti huku obama akimbembeleza crazy Endorgan awaachie
Acha uongo wako wewee...NATO base ya uturuki bado ipo active na juzi wamerusha ndege kwenda Syria kuwapiga IS..Ivi mtu ukishadanganya unapata faida gani hasa?
 
Mungu amtupi mja wake hizi mbwembwe za kuonea Urusi zinasababishwa na political matters, hii vita vya kimichezo ni rahisi mno kwa Putin watashindana lakini hawatashinda.

"US WILL COME TO TALK WITH US WHEN THEY HAVE BLACK PRESIDENT AND THE WORLD HAS LATIN POPE" FIDEL Castro
Hujui chochote kuusu hili swala la wanamichezo wa urusi,kwanza walitumia dawa za kuongeza nguvu michezoni na mbaya zaidi serikali ihusika katika mpango huo ili wanamichezo wake waweze kushinda kwenye michezo ya olympiki..Kwa namna moja au nyingine walifanikiwa kwani wanariadha wengi wa russia walipata medali kwenye olympiki na London Marathon..
Kibaya zaid shirika la michezo ya riadha duniani walikiambia chama cha soka cha urusi wawapime wanamichezo wao na kupeleka majibu..Walifanya ivyo ila walikataa kupeleka majibu na kibaya zaidi serikali ya russia ilihusika katika kuzuia majibu hayo ya vipimo kupelekwa makaonm makuu ya shirika la riadha duniani Basi shirika likaamua kuwapima wenyewe na wakagundulika kutumia madawa ya kuongeza nguvu...We uanataka wafanyeje? wawaachie warusi wakimbie na madawa yao mwilini kisa kuogopa urusi ni nchi kubwa?..Mbona hata kuna baadhi ya wakenya juzi wamegundulika pia kutumia hayo madawa japo wengine walitumia in good faith lakini rungu la adhabu liliwakumba tuu..Someni acheni ushabiki wa kisiasa kwenye michezo.
 
Acha uongo wako wewee...NATO base ya uturuki bado ipo active na juzi wamerusha ndege kwenda Syria kuwapiga IS..Ivi mtu ukishadanganya unapata faida gani hasa?
waliwekwa hostage ,obama akabembeleza sana,ndege tu ndo zikaruhusiwa kwenda kushambulia isis,lakini mpaka nacheki jana walikuwa bado wamewakatia umeme,wanatumia jenereta na hawaruhusiwi kutoka toka nje ya base mpaka kwa emergence,nenda debka.com utaikuta story kwa jana
 
Achana na mambo ya media cheap cheap hiyo..Toka haya mambo yatokee naweza naweza sema nimekuwa mmoja kati ya watu waliofuatilia sana vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo RT,PRESS TV,CCTV,ALJAZEERA na vingine vya magaribi sijaona habari kana hiyo kwamba NATO base iliwekwa chini ya ulinzi na Obama kuomba msamaha kama unavyosema..Labda niliiikosa hii habari but Kwa suala la Sijui Obama kuomba msamaha kwa Erdogan ni uongo ulioutunga kufurahisha jukwaa...Turkey ni mshirika wa karibu sana wa marekani na ni moja kati ya nchi zinazopokea misaada mbalimbali ya kijeshi hapo mashariki ya kati..Ndio maana hata baada ya syria kuchafuka,Obama aliamrisha Marekani ku deploy Patriot missiles in turkey ili kujikinga na ndege za syria kama wakitaka kuvuka mpaka kuishambulia turkey..Kwa hiyo haya mambo sio karahisi kama mnavyoyachukulia...
Na kam sio kwa msaada wa marekani hawa failed coup wangesababisha maafa makubwa sasna...
 
Erdogan locks US airmen, nuclear arms in Incirlik
Some 1,500 US airmen and their families have been locked in the southern Turkish air base of Incirlik together with a stock if tactical nuclear bombs since President Reccep Erdogan crushed an attempted coup on Saturday, July 16. In the four days up until Wednesday, July 20, therefore, no air strikes against ISIS in Syria and Iraq have been staged that Turkish base.
This extraordinary situation, reported here bydebkafile’s military sources, whereby a large group of American military personnel are held virtual captive by an allied government, was almost certainly raised in the phone call that took place Tuesday between President Barack Obama and Erdogan. But the most outlandish aspect of this affair is that no American official has raised it in public - nor even by the administrations most vocal critics at the Republican convention which nominated Donald Trump as presidential candidate.
The situation only rated a brief mention in some Russian publications under the heading: “Turkish investigators enter & search Incirlik air base where US nukes are housed.”
Our military sources report that deep bunkers located near the base’s running strips house B61 tactical nuclear gravity bombs.
In the course of the massive sweep-cum-purge Erdogan is conducting in every corner of the country, hundreds of police officers accompanied by Ministry of Justice and Attorney General Office investigators are the only people permitted to enter the strategic air base, and only emergency cases may leave, after coordinating with the Turkish authorities.
 
Kuna watu wanawaogopa sana Warusi mmoja wao mi Sexer

waturuki ni waonevu sana, walidungua chopa ya urusi bila huruma, ila na wenyewe walikipata kwa muisrael kwenye ile meli yao iliyokuwa inaelekea gaza
 
kuna wana watu wanamuogopa sana mturuki hasa bily na putin, chezea kudunguliwa!
hapa kudungua tu!
Iyo turkey kwa sasa atuwezi tukaizungumzia maana imebaki tu jina mpak irudi kuwa sawa sio leo tena
 
Sexer huwajui vizuri Marekani! Utaishia kuwashabikia ki-ndezi tu! Tambua kuwa very soon, Uturuki watakuwa kwenye mzozo mkubwa wa ki-diplomasia na Marekani, the main cause being ile failed coup ya ijumaa iliyopita. Unafiki wa Marekani umedhihirika hatimaye.

In addition, usitarajie kwa situation ya sasa ya Post-Coup Turkey, Western Mainstream Media zikupe habari sahihi. Kwa hizo media, huu ni wakati wa funika kombe mwanaharamu apite.

Marekani inabidi atumie akili ya ziada ku-repair uhusiano wake na Uturuki, la sivyo, US Middle East Policy itapata mtanziko mkubwa sana.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Haya ya Olympic mbona hayajaanza leo jamani.
Mwaka 1980 Wamarekani walifanya Boycott kwa Olympic iloyofanyikia Moscow, USSR.
Mwaka 1984 Soviet Union wakalipiza kwa kukataa kwenda kwenye Olympic games huko Marekani.
Kwa hiyo haya mambo ni ya kuyaangalia sana kabla ya kuleta ushabiki. Hizi ni siasa tu na watu inabidi tuangalie kwa makini sana
 
Back
Top Bottom