Uruguay mabingwa wapya wa copa america | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uruguay mabingwa wapya wa copa america

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Jul 25, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Timu ya taifa ya uruguay wametwaa taji la copa america 2011,kwa kuwafunga paraguay{wazee wa viatu} mabao 3-0,suarez [adui wa waafrica]wakati wa kombe ta dunia 2010 kule bondeni,ameifungia uruguay bao la kwanza,akifatia mkongwe folan akifunga magoli mawili.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Uruguay wanatisha!!!!
   
 3. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hawa jamaa ni haki yao, kwa south and central America nadhani hawa ndio 2nd best team nyuma ua Brazil, Brasil kama sio yale manyago yao ya penalti naona wangefika mbali. Mimi toka kule Bondeni hawa jamaa nimewakubali. Forlan and Suarez ni best striker partnership duniani hivi sasa kwa maoni yangu.
   
 4. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  si ajabu. ndio timu toka South Amerika iliyofika mbali kwenye world cup (4th place kama sikosei nyuma ya spain, Dutch, na Dutsch). shows consistency za wenzetu...sisi simba ilifika fainali ya caf na mwaka uliofuata sijui hata kama ilifika raundi ya kwanza!
   
Loading...