Urojo time...!!!

Urojo time...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Screenshot_2018-01-22-16-54-09-1.png
 
Ukipiga hiyo kitu huwezi kuperfom chini ya kiwango kitandani[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Hii kitu achana nayo kabisa mkuu
Ndio maana mi hadi leo siperfom chini ya kiwango, hiyo inatokana na virutubisho vingi, vitamini na aina zote za chakula kuwemo kwenye urojo. Zamani watu kutoka bara walijuwa wanaudharau sana urojo, ila sahivi watu never miss, huwa tunawaona pale maeneo ya kariakoo na magomeni, utafikiri wamepanga foleni kusubiria dona la Yanga [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Yeah ndo ilivyo.

But its quite yummy hasa mishkaki ikiwa mingi.

Ila sipendi wakiweka veggies na boiled eggs.
Mm wakiweka veggies na boiled eggs ndo napenda zaidi hata nkijamba basi the fart will speak for itself
 
Raha ya urojo ujaze extra everything. Extra mishkaki, extra eggs, extra kachori...

Ila zile mboga mboga zinazingua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom