Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 803
- 867
Sawa mkuu nimesikia ombi lako πππToa neno kwa wazee ambao wanafosi watoto wao watume pesa nyumbani au wasomeshe wadogo zao
Kwakweli.... kwamba kama mali si zetu basi tusisumbuane..Mkuu ebu toa neno kwa wale wazee ambao wanategemea kusaidiwa na watoto wao
Ahahahaha si baba ako akiniKwakweli.... kwamba kama mali si zetu basi tusisumbuane..
Mithali 19:14."Kijana mwenye akili muhimu kwake ni amani na upendo tu kutoka kwa wazazi/walezi. Mengine yote hujipambania mwenyewe. Mzazi anayehangaika kumrithisha mali mtoto ni kiherehere cha uzeeni ambacho kitaamua aidha ni mtoto awe mzazi na mzazi awe mtoto, hapo mzazi lazima aondoke haraka sana kwenye ramani ya dunia. Sawa na mwanasiasa aliyenaswa kwenye mtego wa tamaa kabla ya muda wake."β Alloyce, P.R. πππ
Huo ni UONGO,,, Akili si urithi ... mali ndo urithi.. ila bila akili hizo mali zitapotea...."Kijana mwenye akili muhimu kwake ni amani na upendo tu kutoka kwa wazazi/walezi. Mengine yote hujipambania mwenyewe. Mzazi anayehangaika kumrithisha mali mtoto ni kiherehere cha uzeeni ambacho kitaamua aidha ni mtoto awe mzazi na mzazi awe mtoto, hapo mzazi lazima aondoke haraka sana kwenye ramani ya dunia. Sawa na mwanasiasa aliyenaswa kwenye mtego wa tamaa kabla ya muda wake."β Alloyce, P.R. πππ
Weka neno kwa wazee ambao wenyewe wanategemea warithi mali kwa watoto waoHuo ni UONGO,,, Akili si urithi ... mali ndo urithi.. ila bila akili hizo mali zitapotea....
Kizazi chako lazima ukiridhishe MALI huku unakipa akili za kumudu hizo mali...
Wanaojilewa haswa watu wa ASIA watoto wanaingizwa kwenye mifumo inayotengeneza mali za kifamilia mapema wapate ufahamu wa kuendeleza huko mbele wakiwa wenyewe...
Mizee wa kiafrika inasema mali siyo urithi halafu ikishazeeka inataka ihudumiwe kwa mali zipi ulizorithisha? Halafu utakuta hizo mali kama ni viwanja au nyumba naye alirithishwa ndo maana alipata jeuri ya kuendelea.
Baba naye lazima ajue kuna uzee mbele huko kwahiyo ajipange....Ahahahaha si baba ako akini
Daaah kuna wazee wengine jau sana ujueBaba naye lazima ajue kuna uzee mbele huko kwahiyo ajipange....