and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,513
- 40,354
Kama ndivyo safari bado ni ndefuImelenga Per diems za kuzunguka kila kona ya nchi
Ni kweli tofauti na kufanya kwa wanyonge wenzetu Mtwara Mikindani ambae hata hela ya kula kwake ni mtihaniNashauri wakafanye urithi festival huko Paris watakula vichwa
Kwani ni Idea ya Klauz au Mzee wa Pori kwa Pori?Hii ni njia ya Clouds kujisogeza karibu na serikali.....Hakuna kingine.
Mwananchi mnyonge wa Mtwara mikindani akatalii Serengeti sio?Nadhani linalenga watanzania wote na watalii kutoka ndani na nje ya nchi na ndio maana kuna vionjo kama vya nyama choma ya mamba, swala kiboko nk. Sasa nifursa na sisi wanyonge tukaonje nyama pori jamaani tumezoea kuwaona tu kwenye hifadhi za taifa.
Kwa nini wasiende au unadharua watu wamtwara?Mwananchi mnyonge wa Mtwara mikindani akatalii Serengeti sio?
Sijadharau nawaza huo uwezekano upo? KWa uchumi upi? Binafsi niliwaza pengine tujikite kwa watalii wa nje wenye kipato cha kutumia kwenye utalii sisi tujikite kupata pesa ya kusomesha wanetuKwa nini wasiende au unadharua watu wamtwara?