Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,284
- 5,854
Habari,
Kama kichwa kinavyosema naomba kujua faida na hasara zake na kama itapunguza ufanisi wa tendo la ndoa ama kuongeza pindi mwanaume atakapo fanyiwa hii kitu?
Karibu wataalamu