Urgently!

Urgently!

kidheha kwa mtaji huo humpati mtu...unachotakiwa kufanya ni kumtafuta mjane naye awe na watoto wake ndio atakubali
Habarini mimi ni kijana nina miaka 40. Nina watoto wakiume watatu ni mfanyakazi wa serikali na pia ni mfanyabiashara.
Niliachana na niliyezaa nae miaka miwili iliyopita.

Tulishindwana na bahati tulikua hatujafunga ndoa tuliishi illegally so nimetafakari kwa sasa kuishi mwenyewe siwezi nahitaji mke ila awe tayari kulea hao watoto awafanye kama wake.

Awe ni mdada kuanzia miaka 25 mpaka 30mwenye elimu atleast Degree moja na asiwe na mtoto na awe ni mdada ambaye hajawahi kolewa au kuchumbiwa.

Kabila awe mchaga,mhaya, mnyakyusa, mgita,mzanaki,mmasai,mpare, mluguru,mhehe,msukuma au yeyote isipokua mrangi,mnyiamba,mmbulu.

Asanteni
 
Yan kwa mashart hayo humpati.tafuta wa kuendana na wew
 
umeonaeeeeeeeeeeeeeee
halafu hawataki warangi sijui wamemfanyia nini?

Labda pumzi yake ndogo thi unajua hao watu mpaka umpandishe juu ya mti inahitaji techniques na package ya kutosha.

Sasa # TEAM VIBAMIA wanapata shida sana mwaya na ndio mana BI MDADA kaipeleka kwa wanaojua kuitendea haki mwaya.
 
Mi nina dada yangu wa izo sifa, tatizo hapo ni kabila ye ni mrangi, sasa kama ni uharaka itakuaje sijui
 
Habarini mimi ni kijana nina miaka 40. Nina watoto wakiume watatu ni mfanyakazi wa serikali na pia ni mfanyabiashara.
Niliachana na niliyezaa nae miaka miwili iliyopita.

Tulishindwana na bahati tulikua hatujafunga ndoa tuliishi illegally so nimetafakari kwa sasa kuishi mwenyewe siwezi nahitaji mke ila awe tayari kulea hao watoto awafanye kama wake.

Awe ni mdada kuanzia miaka 25 mpaka 30mwenye elimu atleast Degree moja na asiwe na mtoto na awe ni mdada ambaye hajawahi kolewa au kuchumbiwa.

Kabila awe mchaga,mhaya, mnyakyusa, mgita,mzanaki,mmasai,mpare, mluguru,mhehe,msukuma au yeyote isipokua mrangi,mnyiamba,mmbulu.

Asanteni

KIDHEHA kwa vile issue yako ni 'urgent' nitakupa ushauri.
Weka hapa hadharani mali ulizonazo na mtiririko wako wa kifedha (cash flows) ili kuwarahisishia watoa maamuzi (Mengi kaoa binti hivi karibuni). Kwa kuwa there are lot of risks kwenye uhusiano huu hao dadas watataka kujua returns tarajiwa.
Risks: 1. ndoa ya kwanza ilikushinda (ulimtelekeza), 2. Una watoto 3 tayari, 3. Lazima apende wanao hata kama wakimchukia, 4. Huja disclose status ya afya yako, 5. E.t.c.
Be fair
 
Back
Top Bottom