Mwenye kujua range ya bei za lodge za pale bagamoyo eneo la kitalii aniambie tafadhari
Em niulizie huko google afu unipe majibu km we utaeza
Hotel za kitalii zina range kati ya dollar 150-400 kwa usiku mmoja kutegemea na aina ya huduma uitakayo. Nyie mnayemwambia a-google jf isingekuwepo kama kila kitu mtu anatakiwa a-google acheni ubinafsi[/QUOTE
Ndo bei iyo, au km vipi aende kuna Lodge inaitwa Stela Maris nadhan bei yake per night 50$