Urgently:(house keeper) Nafasi ya Kazi DSM

mkuu hao watukanaji ndo zao mimi nawajua wana stress sana .yupo mmoja mlokole hapa anasali kwa gwajima basi taabu tupu
ushapata mtu mkuu?
 
John ulitoa nafasi ya kazi before.ukaomba hivyo hivyo picha.namba yako ninayo niliisevu naona umejisahau ukatima tena.nilikuuliza umepata mtu ukasema yes in a matter of five minutes like seriously? mbona before hujapokea picha ukusema umepata mtu? kwanini unasumbua watu wenye shida?? mimi kazi yangu ni kuumbua matapeli sasa leo utajuuuta umeingia choo cha kiume sink lipo ukutani sijui utakunyaje?? WEWE NI TAPELI MKUBWA NA UNASTAHILI MATUSI MBWEHA WEWE.MARA UNA MGAHAWA MOROCCO AIRTEL MARA UNA KAMPUNI MFYUUUU KAAJIRI DADA ZAKO AU MAJIRANI ZAKO PAKA LA BAA WEWE
 
teh labda hukuqualify jamani
 
huyu kaka anakwambia uje muonane ukifika anakwambia ooh kazi ameshapatikana mtu then anakusalandia ukilegea unaliwa hivi hivi.ana bahati sana huyu nipo mkoa ningedeal nae personally.alishamfanyia hivi ndugu yangu
 
huyu kaka anakwambia uje muonane ukifika anakwambia ooh kazi ameshapatikana mtu then anakusalandia ukilegea unaliwa hivi hivi.ana bahati sana huyu nipo mkoa ningedeal nae personally.alishamfanyia hivi ndugu yangu
Mkuu hebu tujuze. Alimla ndugu yako?
 
Asante kwa kunitukana,
Ila mwezi wa 11 nilikuwa natafuta waiter na nilimpata kupitia hapa hapa JF.
Na wewe labda ulichelewa.
Kwa sababu imagine hata wiki hii kuna mtu alinipigia kuulizia kazi ya mwezi wa 11 ambayo mtu alishapatikana.
Kwa hio akipatikana mtu na akaajiriwa sio kwamba mimi ni tapeli.
Nadhani kuna point ambayo hujaielewa.
Hata hivyo asante kwa matusi
 
kwa nini ulidai picha kwanza?
 
huyu kaka anakwambia uje muonane ukifika anakwambia ooh kazi ameshapatikana mtu then anakusalandia ukilegea unaliwa hivi hivi.ana bahati sana huyu nipo mkoa ningedeal nae personally.alishamfanyia hivi ndugu yangu
Ndugu yako yupi.
Muulize vizuri kama kweli John Mlacha ndiye kamfanyia hivyo?
Au umependa tu kuniharibia?
Mwambie huyo ndugu yako alete hata meseji zake ambazo nimewasiliana naye.
Kumbuka tumefanyia interview watu wengi sana mimi nikishawafikisha kwa HR sijui nini kinatokea huko.
Ila kama kuna feed back kama hizi kwa nini huyo ndugu yako hajaniambia na wakati mimi ndio nilimuunganisha na wanaofanya interview?
 
Mtaanza kubishana wee mwisho wa siku mimi napata mtu.
Then mkikosa kaZi mnaanza kulalama.
 
Mkuu hebu tujuze. Alimla ndugu yako?
Mkuu heshima ifuate mkondo wake.

Huyo dada mwambie alete vithibitisho manake namba yangu na kila kitu vipo wazi.
Kumtaka mtu kimapenzi ili apate kazi ni kosa kisheria na kuna mashirika mengi sana yanaweza kunipeleka mahakamani.
Siwezi kuthibutu kufanya alichosem huyo dada.
Athibitishe kama ni kweli na alifanyiwa na nani?
Anipe jina mimi nitajua cha kufanya hapo kazini kwangu
 
kwa nini ulidai picha kwanza?
Sio kila mtu lazima afanye kazi fulani .
Kuna kitu kinaitwa presentation(mwonekano)
Hata ukikataa lakini ukweli ndio huo .kama huamini nenda vodacoma customer care uone kama utakuta wazee au wabibi?
Logic ndogo sana.
Hata mfanyeje ila mfanyakazi nitampata lakini hii ni mara ya mwisho kuleta kazi hapa.
Sio kwa mitusi hii khaa!
 
Kawachukue kijijini kwenu uwape hiyo kazi yenye maslahi km usemavyo kijiji kizima kitakuheshimu utakua mungu mtu kwao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…