Urgent! Urgent! Radio Call Inahitajika

mwakibete

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
3,069
Reaction score
2,314
Salam wadau.
Wapi naweza pata radio call yenye uwezo wa kwenda masafa marefu?

Au mwenye kujua gharama zake pia nitashukuru.

Mimi nipo dsm
 
Salam wadau.
Wapi naweza pata radio call yenye uwezo wa kwenda masafa marefu?

Au mwenye kujua gharama zake pia nitashukuru.

Mimi nipo dsm

Toa specifications zako mkuu issue sio masafa marefu tuu. vilevile sema unataka ngapi utaletewa hadi mlangoni kwako.
 
Check kwa email yako

Nimeiona mkuu. Kweli wewe wa ukweli hiyo machine unayotaka sio mchezo tunazitumia sana sie watu wa mining. Kesho mapema nitakutumia profoma yake mkuu.
Shaka ondoa we will discuss on this fella. Kazi njema mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…