Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 50
Habari wana JF, Naomba msaada wa kupata link au kama mtu ameshaipata anitumie kwani nina shida ya Biblia (Holly Bible software) na Msahafu Islamic software nataka ni install kwenye Laptop yangu sasa jinsi ya kuipata nimejaribu ku search katika google naona nyingi zinakuja na Virus,