Habari zenu wakuu, naomba watu wa igunga mnitafutie Public Announcement System (PA), Microphone 3 wireless, kwa Jumapili 4/September/2011, Igunga, mwenye contacts naomba PM tafadhali.
Asanteni.
Kweli FF hapa jamaa kachemka, sometimes tujitahidi kuwa a bit serious sio mzaha kila mara (nina hakika director alikuwa anatania tu), maana katika hali ya kawaida mtu hawezi sema maneno haya
Mkuu mi nina kampuni inajihusisha na shughuli hizo na ipo dar,tunavyo vifaa vya uhakika na huwa tunasafirisha hata mikoani kwa ajili ya shughuli kama hizo pamoja na shughuli za kuhamasisha jamii mambo mbalimbali kama utahitaji wkat mwingine nitafute 0714779110.