Urgent - Natafuta kiwanja Dar

Mimi ninacho nusu eka ila kina makaburi ya ukoo. Kama hujali njoo nikuuzie.

Ila mara moja moja utaturuhusu tuje kutambika 😀 😀 😀
 
Subiri mkuu wanakuja ila hao vichaa waliotangulia ku-comment wamechukua simu za wahudumu wodini sasa hivi tunafanya utaratibu wa kuwapokonya ili wasiendelee kusumbua JF, natanguliza pole sana kwa usumbufu mkuu
 
Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.
Bei tsh. 23,000,000.00
Maelewano yapo
 
Umetenga sh ngapi za kiwanja ili upate sawa na nguvu ya hela yako. Dar viwanja vipo kila sehemu, ni hela yako tu. Mfano K/koo vipo kama sita hivi vinauzwa, Upanga East vipo vitano, Obay vipo viwili. Chagua tu.
 
Kuna kiwanja hapa mwananyamala lakini kunanyuma ambayo unaweza kubomoa ukajenga mradi wako.Bei ni 1200000000(bilioni Moja na milioni miambili)Ni bei nzuri ndogo tu.kiwanja ni square meter 2025.Fanya haraka maana ni bei ya punguzo na punguzo linaisha mwezi huu wa saba tu
 
Nipigie simu
 
Kuna kiwanja kinauzwa msasani karibu na Ali hassan mwinyi bilioni mona na milioni mia moja bei ya jion kabisa na n kizuri ka unakihitaji tufanye mawasiliano
 
Ukikosa kabisa kipo cha sqm 560 mabwepande bei ya jioni viko viwili utachagua kimoja 0768866186 whatsapp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…