Nataka za kubebea gypsum..!!!
Kukodi
Nnakushauri tu, kama unachukulia gypsum kusini kati, basi kavizie magari yanayorudi tupu kutoka kusini. Kama unachukulia njia ya Tanga kasheshe.
Mume wangu aliijaribu hiyo kazi hailipi na utagombana na wenye magari na madereva kila kukicha.
Hyo kugombana hata wa kupiga mkono hao lazma mgombane kaz siku iz lzma muwe na mkataba tu na ndo mana kuna watu wanasema Port hakuna mizigo kumbe kaz zao zilkua za kiswahili swahil