Urgent: Nafasi ya kazi

Firefox

Senior Member
May 10, 2011
127
71
update:
Nishapata mtu wakuu, ikitokea uhitaji mwingine nitawafahamisha, ahsanteni sana.

poleni na majukumu wakuu.

Natafuta mtu atakayenisaidia kuweka post kwenye blog yangu kwa sababu

mimi nimekuwa busy na shughuli nyingine lakini pia sipendi nisii update kwa

sababu inapata visitors kila siku lakini haiko update.

Blog yenyewe ni kwa ajili ya nafasi za kazi na matangazo mengineyo,

so utakuwa ukizitoa kwenye magazeti ya daily news na/au the guardian.

Kama upo interested nitumie e-mail.

sifa:

uwe na computer na internet connection.

Nitakuwa namlipa tsh. 300 kwa kila post moja, so kwa siku ukiweka post 10 utakuwa na tsh. 3000. per day.

Karibu sana.


P.s

"dau litakuwa likiongezeka kutokana na mafanikio atakayoleta.
"
 
ts a nice offer but who will be buying the newspapers n internet packages!!!!cz seriously....,we nid to mek sure the costs rnt higher than the pay
 
Back
Top Bottom