nimejiunga blakberrry service ya mwezi na inaisha tarehe 28 kesho ila tokea tarehe 24 sipati huduma nikiwapigia kila siku wananiambia inashughulikiwa na siku zinaisha bila service yeyote sipati net sipati chochote
Naomba kama kuna mtu yuko karibu na Vodacom anifikishie ujumbe kwamba mtandao wao sasa unazidi kukera wateja.
Nimeweka pesa muda mfupi uliopita na kununua bundle ya Tsh 4200 kwa ajili ya kupiga mitandao yote. Jambo la kusikitisha ni kwamba siwezi kupiga simu kwa sababu naambiwa sina salio wakati nikiangalia balance ya bundle ninazo sekunde 10,035, SMS 9255 na MB 3294.
Nikijaribu kupiga customer care simu yao haipatikani.
Ahsante sana kwa yeyote atakayeweza kunisaidia.

Na wewe una hisa huko??
Binafsi siamini mtandao wowote ule kwa sasa...ingawa Tigo nilishaachana nao long time.
Mzee una hisa airtel?
Wote manzi ga nyanza....
Babu DC!!