But why?
Kwa nini hawatoi taarifa au hawafungi hizo huduma ili pesa za wateja zisichukuliwe?
Naona kama ni utapeli huu...
Kama kuna mtu ana namba ya watendaji wao basi anisaidie niwapigie....
Babu ni kwamba hakuna wa kutetea wanyonge hao viongozi wengi wanatumia voda kwa hiyo hii tabu wanaipata ila ndo no one real cares!!!!!
Internet yenyewe imekuwa pangu pakavu tia mchuzi
kwa kweli tigo wanajitahidi sana kuhusu bundles. nimekua nikitumia kabaang toka ilipoanzishwa na hakuna hata siku moja imesumbua. unapiga hong kong, usa, nk. internet ta kweli kwa wiki bila usumbufu. sijui baadae kama watabadilika. ila kwa sasa wanajitahidi.

Mi nimehamia Airtel
Hamia Airport. Ah samahani Airwing, mmh sijui mtandao gani ule wanaita. Hebu nadhani Airforce. Hahahaha Airtel Bwana.
Nimewaandikia ujumbe kama dak 15 zimepita ila hawanipi jibu lolote....simu yangu bado siwezi kuitumia...
I am losing my patience!