Urgent! jamani nahitaji msaada wa project proposal nitafweli chou mazee. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urgent! jamani nahitaji msaada wa project proposal nitafweli chou mazee.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Silanda, Jan 20, 2011.

 1. S

  Silanda Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  muda umeniishia kabisa na ninatakiwa kupeleka proposal kwa wakuu sasa nisaidieni. mfano wa problem ni kama vile Student perception toward mathematics at university level.ikiwa ni msaada nitafurahi na kushukuru sana aatakaye saidia, akitaka chochote pia twaweza ongea lakini nimefulia mbaya mazee, plz.
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Tumia internet na ubongo wako vizuri utafanikiwa .

  Nchi yetu imefikia hapa ilipo kwa vitu kama hivi. Kama proposol tu unaomba msaada, je project yenyewe.

  Wewe andika proposal lete hapa wataalamu watakusaidia kuirekebisha ikidhi viwango.

  Elewa nia ya wewe kuandika proposal sio kushinda tenda, nia ni wewe uelimike sasa ukisaidiwa utakuwa umeelimika nini? Na mbaya unataka msaada bila wewe uonyesha jitihada.

  Ahalafu unasema tiitle ya proposal kama vile yaani hata mpaka sasa hata title huna uhakika nayo.

  Ushauri wangu

  • tafuta title ya proposal yako
  • Ni kwa nini umechagua tiittle hiyo
  • ielewe ni aina gani ya proposal/project yako ( Research, experiment,etc)
  • Jua ni nyenzogani utahitaji, utatumia( watu ,vifaa shule, fedha)
  • Jua aina gani ya data utatafuta
  • Kadiria muda utakaochukua kukamilisha project yako
  • Ugumu,contraints unazozani utapata kwenye proj yako
  • Elezea ukubwa au scope au mipaka ya poriject yako.

  ukijibu hayo maswali ni kama umeandika proposal
   
 3. Obi

  Obi JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 376
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Unajua mimi ni supervisor wako. Sasa ukileta proposal ambayo umesaidiwa siipitishi. Tumia akili yako
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,524
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  wengi hawajui kuwa mmejazana hapa JF
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,524
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  anagalia hii inahusu university student perception in mathematics and elementary statistics utachukua points kadhaa mtandao umejaa information ndugu yangu hii imenichukua sekunde kusearch na its just first page.... search sources tofauti uchanganye na unganisha na badilisha vitu kulingana na report yako

  http://ozelacademy.com/EJES_v1n1_3.pdf
   
 7. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  wewe unamdesesha huyo waziri mtarajiwa wa nishati na madini au director wa TIC, akijaboronga huko baadaye utahusika, hata kama sio direct. Mwanafunzi anatakiwa aishughulishe akili katika kujifunza.

  Ndo maana wahitimu wengi wanakosa ubunifu na kujiajiri, wamezoea kuwa directed kuanzia wako kindergarten hadi postgraduate.

  Hivi VoA, umesikia wanafunzi wa CBE na IMF sijui siku hizi wanaenda tuition?
   
 8. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Talk to your Research Supervisor!
   
 9. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 60
  I like your comments
   
 10. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 60
  I like this comment
   
 11. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  kuna watu wanaweza kukuandikia proposal for USD 3000 half now, half on completion.
  Research yote at 7000 USD.
   
 12. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #12
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Haya jamani,baadae anataka kuwa kiongozi wa CDM
  mapinduziiii daimaaaaaaaa:crying:
   
 13. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  I think Plaigarism does not apply in Tanzania......,:smile-big::lying:
   
 14. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...daa hivi vyuo vyetu siku hizi balaa! wako wengi sana wanatusumbua huku mtaani...eti tuwaandikie PROPOSAL! wanasoma wao, mtu mwingine aandike proposal......rubbish kabisa!
   
 15. Mla Mbivu

  Mla Mbivu JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Na kwa wale vilaza wa i.t wasiojua code, natengeneza systems kwa ajili ya final year project, tayari nishagonga project 2 ifm, moja usd 800 na nyingine usd 650. Zipo ambazo nishaandaa na title kabisa, au naweza fanya title uliyoandaa. Web based (php & mysql) na desktop applications kwa vb.net & sql server or access. Kama upo interested nigongee p.m fasta.
  Kupata a au b+ ni lazima.

  Changamkieni.
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Jan 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,524
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  hapo lazima a [​IMG] out kama wabunge wa CDM
   
 17. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #17
  Jan 21, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Afanye nini kama wabunge wa CDM, ha ha ha ha ha haaaa. Unatafuta matusi.
   
 18. S

  Subira Senior Member

  #18
  Jan 21, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mbona umemjibia sasa lakini kwa miaka hii anaweza ashindwe hata baada ya hapo.
   
 19. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #19
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,222
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  ...are you he or she?
   
 20. misorgenes

  misorgenes JF-Expert Member

  #20
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  elimu za kibongo bwana!
   
Loading...