kama wewe ni mwanadada unahitaji mume na una sifa zifuatazo nipm haraka iwezekanavyo
-uwe na kazi
-uwe mrefu kiasi
-usiwe mbaya sana wala mzuri sana kisura
-Usiwe mpare wala mhaya
Mengine yote yanajadilika baada ya kuwaona wahitaji
Wahi nafasi ni chache.

Awe na atleast digrii moja kwani tender yenyewe ni ya kimataifavipi kuhusu kiwango chake cha elimu au umbo lake (in terms of body size)?
...hapo nilipobold..kwa hiyo nafasi zipo kwa wadada wangapi?