Picco haina tofauti na tattoo vile, hivyo kila mtu ana haki ya kujichora.Kumbe picco haimtupi mtu
Hebu nione yako uliyojichoraaKhaa[emoji1] [emoji1] huyo labda ana allergy na picco
Lakini mkuu hata hina pia ikianza kuchakaa si inakuwa mbaya vile vile??
Inabidi ujiamini.... Kama anakupenda kweli anawezaje kushawishiwa?? Muache akajirembeBinafsi mwanamke ambae anapaka pico na hina ananivutia sana.
Tatizo langu moja tu nina wivu sitaki watu wengine wamuone jinsi alivyopendeza na pia akienda kuchorwa kwa mashoga zake sina imani nao naona kama watamshawishi halafu nitaibiwa.
Kwenye kucha apake hinna sio zile rangirangi..usoni apake wanja sio mapoda poda na rangi rangi za macho
Uko sawa kabisaPicco haina tofauti na tattoo vile, hivyo kila mtu ana haki ya kujichora.
Ila kuna mambo ya kuzingatia kabla ya kuichora.
1. Uitambue rangi ya mwili wako
2. Siyo lazima utumie rangi nyeusi tu kuchorea, hvyo unaweza ukatumia picco(rangi yoyote) ili kiufanya mchoro wako uvutie zaidi
Poa mkuu ngoja nijiamini[emoji1] [emoji23]Inabidi ujiamini.... Kama anakupenda kweli anawezaje kushawishiwa?? Muache akajirembe
Nikajua umechora upate zawad sasa hivSijawahi kuchora ila huwa naona wanavyopendeza walichora
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Poa mkuu ngoja nijiamini[emoji1] [emoji23]
Akiibiwa potelea mbali nitatafuta mwingine
Uje uswahilini keetu upakwe picco nitakulipiaPicco haina tofauti na tattoo vile, hivyo kila mtu ana haki ya kujichora.
Ila kuna mambo ya kuzingatia kabla ya kuichora.
1. Uitambue rangi ya mwili wako
2. Siyo lazima utumie rangi nyeusi tu kuchorea, hvyo unaweza ukatumia picco(rangi yoyote) ili kiufanya mchoro wako uvutie zaidi