A aaamuk JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 707 Reaction score 209 Sep 30, 2015 #1 Hivi wadau inakuwaje unakuta binti mrembo alafu kichwani hazichaji. ... Nadra kukuta binti mrembo proffesa. ..sana sana utamkuta hotelini reception hivi kweli kwa nini urembo hauambatani na akili za darasan Mdau umewahi kujiuliza hili
Hivi wadau inakuwaje unakuta binti mrembo alafu kichwani hazichaji. ... Nadra kukuta binti mrembo proffesa. ..sana sana utamkuta hotelini reception hivi kweli kwa nini urembo hauambatani na akili za darasan Mdau umewahi kujiuliza hili
mercky JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 538 Reaction score 165 Sep 30, 2015 #2 Wapo wengi mbonaa?? Dada yangu ni Muremboo duh! Pia kwa mukichwa ndo usisemee! Wapo kibao UDOM, UDSM, SUA,CBE,IFM hukoo kotee wamejaa na wewe ongezeaaaa!
Wapo wengi mbonaa?? Dada yangu ni Muremboo duh! Pia kwa mukichwa ndo usisemee! Wapo kibao UDOM, UDSM, SUA,CBE,IFM hukoo kotee wamejaa na wewe ongezeaaaa!
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 26,003 Reaction score 96,274 Sep 30, 2015 #3 Hicho kichwa cha habari wala hakina uhusiano na habari yenyewe
olele JF-Expert Member Joined Dec 2, 2010 Posts 1,305 Reaction score 1,581 Oct 2, 2015 #4 Jimena said: Hicho kichwa cha habari wala hakina uhusiano na habari yenyewe Click to expand... atakua alikua anataka kuandika "uhusiano na wa urembo na darasani" sasa hiyo kadashian ndo atueleze kaipata wapi
Jimena said: Hicho kichwa cha habari wala hakina uhusiano na habari yenyewe Click to expand... atakua alikua anataka kuandika "uhusiano na wa urembo na darasani" sasa hiyo kadashian ndo atueleze kaipata wapi
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 26,003 Reaction score 96,274 Oct 2, 2015 #5 olele said: atakua alikua anataka kuandika "uhusiano na wa urembo na darasani" sasa hiyo kadashian ndo atueleze kaipata wapi Click to expand... Atakuwa kavurugwa huyu....
olele said: atakua alikua anataka kuandika "uhusiano na wa urembo na darasani" sasa hiyo kadashian ndo atueleze kaipata wapi Click to expand... Atakuwa kavurugwa huyu....
A aaamuk JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 707 Reaction score 209 Oct 2, 2015 Thread starter #6 Embu mdau weka picha ya profesa mwanamke umalize utata nilionao
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,116 Reaction score 5,370 Oct 2, 2015 #7 olele said: atakua alikua anataka kuandika "uhusiano na wa urembo na darasani" sasa hiyo kadashian ndo atueleze kaipata wapi Click to expand... hiyo dashian ... inatoka kwenye wimbo wa SAFARI wa nikk wa II verse aliyoimba Joh makini... dashian maana yake hamna kitu kichwani.
olele said: atakua alikua anataka kuandika "uhusiano na wa urembo na darasani" sasa hiyo kadashian ndo atueleze kaipata wapi Click to expand... hiyo dashian ... inatoka kwenye wimbo wa SAFARI wa nikk wa II verse aliyoimba Joh makini... dashian maana yake hamna kitu kichwani.
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,116 Reaction score 5,370 Oct 2, 2015 #8 aaamuk said: Embu mdau weka picha ya profesa mwanamke umalize utata nilionao Click to expand... vipi kuhusu prof. Anna tibaijuka kuna prof.cecilia yupi udom heath college.
aaamuk said: Embu mdau weka picha ya profesa mwanamke umalize utata nilionao Click to expand... vipi kuhusu prof. Anna tibaijuka kuna prof.cecilia yupi udom heath college.
A aaamuk JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 707 Reaction score 209 Oct 3, 2015 Thread starter #9 Prof Tibai. ..beauty itokee wapi bob