Mbona huna hoja. Mahali unaona ameshindwa kuiba kulishindikana. Ebu leta mantiki kwa nini vifaa na watu waliojaribu kukusanya matokeo kwa kuchukua matokeo yaliyotundikwa na data za mawakala wamechukuliwa na polisi ili wasiifanye kazi hiyo. kwa nini?
Hakuna hata Mwaka mmoja wa Uchaguzi tangu kurejea kwa mfumo wa vyama Vingi wapinzani hawajalalamika kuibiwa kura za Urais ila hakuna hata Mwaka mmoja wa Uchaguzi wapinzani wamefikia walau theluthi moja ya viti vya Bunge!! Viongoz wa Upinzan wenyewe wanajua hawaiwez ccm ndo maana wanawalisha sumu, 2010 Kina Mbowe walisema Slaa alimshinda Rais aliepo madarakani sasa kama kweli alishinda kwa nn 2015 walimbadilisha eti tafiti zimeonesha hawez kufua dafu kwa ccm akapewa Lowassa! Mtu alimzidi Rais Aliepo madarakani inakuaje hawez kumshinda Waziri wa Ujenzi kwny Urais chini ya ccm iliyovunjika zaid huku Upinzan ukiwa chini ya Ukawa?