Urais Wa Dr. Magufuli ni funzo kwa Wengine

Urais Wa Dr. Magufuli ni funzo kwa Wengine

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
13,348
Reaction score
21,248
Miezi kama minne iliyopita ni watu wachache sana waliokuwa wakiamini kwamba Dr Magufuli atakuja kuwa Rais wa nchi yetu, Hii ilitokana na mfumo uliokuwepo huko nyuma wa kuchagua mgombea ku-base zaidi kwenye makundi ndani ya Chama na umaarufu wa mgombea.

Kilichomwibua Dr Magufuli ni record yake ya uchapakazi, uadilifu, kutoyumbishwa hovyo hovyo kwa sababu ya kusimamia kile anachokiamini kwa manufaa ya wananchi na taifa kwa ujumla, Hiyo imejidhihirisha zaidi katika wizara zote alizowahi kuziongoza mfano Ujenzi na Miundombinu pamoja na Kilimo na ufugaji.

Fundisho tunalopata hapa ni kwamba usingoje mpaka upewe nafasi kubwa ya utumishi ndio uanze kuonyesha namna ya kuwatumikia wananchi. Piga kazi tu hata kama huna cheo chochote, usingoje mpaka uwe Waziri, Mbunge, M /"kiti serikali ya mtaa, nk

WASIPOKUONA BINADAMU MUNGU ATAKUONA NA KUKUINUA TU.
 
bahfsjdbdgsbdjf gdidgsfajdb gdkdbdkdbdh gdgfgdgdgd
Gdjfhdfhdgdgddgeydg
Gdgdjdg
 
Marco Polo come on ona haya usoni kaka maghufuli hakushinda Urais kwa merit bali fraudulent election hii ni wazi
hata dunia inajua kwahiyo acha kualalisha haramu
 
bahfsjdbdgsbdjf gdidgsfajdb gdkdbdkdbdh gdgfgdgdgd
Gdjfhdfhdgdgddgeydg
Gdgdjdg

Mzee wa Harvard University!.. Bora ulichofanya maana comments zako watoto wa BRN huwa wanazilalamikia zinawa discourage.
 
Marco Polo come on ona haya usoni kaka maghufuli hakushinda Urais kwa merit bali fraudulent election hii ni wazi
hata dunia inajua kwahiyo acha kualalisha haramu

Hon Dr Magufuri kashinda kihalali kabisa, nina uhakika hata baadhi ya viongozi wa upinzani wamempigia kura kwa vile wana appreciate kazi yake Sema kimya kimya.
 
Hon Dr Magufuri kashinda kihalali kabisa, nina uhakika hata baadhi ya viongozi wa upinzani wamempigia kura kwa vile wana appreciate kazi yake Sema kimya kimya.
Weka akiba ya maneno.

Kuchaguliwa (kutangazwa kuwa mshindi) kwa Dr. Pombe Magufuli kunaleta funzo (fundisho) moja tu nalo ni
kuwa Tanzania inahitaji Tume huru ya uchaguzi na Katiba ya wananchi.
 
Hakika ni fundisho kwa watengeneza mitandao ya kwenda ikulu kisa wana viroba vya pesa , ,kazi, uadirifu,kujituma kuwatumikia watu ndo KUWA kigezo cha kupata viongozi,
 
Weka akiba ya maneno.

Kuchaguliwa (kutangazwa kuwa mshindi) kwa Dr. Pombe Magufuli kunaleta funzo (fundisho) moja tu nalo ni
kuwa Tanzania inahitaji Tume huru ya uchaguzi na Katiba ya wananchi.

Siasa sio miemuko,
Siasa ni sayansi
Siasa ni mtambuka
Siasa ni MTU wenye matawi ,
Jibu LA ushindi wa magufuli unalipata kuanzia
1,idadi ya wenye viti wa vijijini idadi yao
2,idadi ya madiwani nchi mzima,
3,idadi ya wabunge nchi nzima,.
Ndo unajua magufuli ameshinda kweli au no ,nje ya hapo ni kelele tu,
 
Wewe suala la kuwa na Tume huru na Katiba ya wananchi ni kelele tu?

Una imani na NEC kuwa ni tume huru na imetekeleza majukumu yake kwa uhuru na haki?
 
Siasa sio miemuko,
Siasa ni sayansi
Siasa ni mtambuka
Siasa ni MTU wenye matawi ,
Jibu LA ushindi wa magufuli unalipata kuanzia
1,idadi ya wenye viti wa vijijini idadi yao
2,idadi ya madiwani nchi mzima,
3,idadi ya wabunge nchi nzima,.
Ndo unajua magufuli ameshinda kweli au no ,nje ya hapo ni kelele tu,
Kwako Wewe suala la kuwa na Tume huru na Katiba ya wananchi ni kelele tu?
Una imani na NEC kuwa ni tume huru na imetekeleza majukumu yake kwa uhuru na haki?

Ni kwa nini katika wadau wa uchaguzi ni CCM tu ndio wana imani na NEC?
 
Marco Polo come on ona haya usoni kaka maghufuli hakushinda Urais kwa merit bali fraudulent election hii ni wazi
hata dunia inajua kwahiyo acha kualalisha haramu

Unaibiwaje kura million 2 wakati unamawakala nchi nzima na umewapa mafunzo!?
huu ujinga pelekeni huko Facebook, whatsapp na instagram sio hapa
 
Weka akiba ya maneno.

Kuchaguliwa (kutangazwa kuwa mshindi) kwa Dr. Pombe Magufuli kunaleta funzo (fundisho) moja tu nalo ni
kuwa Tanzania inahitaji Tume huru ya uchaguzi na Katiba ya wananchi.

Kwa hiyo hiyo tume ingemtangaza Lowassa mshindi ungeukataa ushindi wake??
 
Weka akiba ya maneno.

Kuchaguliwa (kutangazwa kuwa mshindi) kwa Dr. Pombe Magufuli kunaleta funzo (fundisho) moja tu nalo ni
kuwa Tanzania inahitaji Tume huru ya uchaguzi na Katiba ya wananchi.

gape la kura million 2! na bado unadai umeibiwa
 
Unaibiwaje kura million 2 wakati unamawakala nchi nzima na umewapa mafunzo!?
huu ujinga pelekeni huko Facebook, whatsapp na instagram sio hapa

Umese,a kweli bro. Na wanaosema Lowassa ndie alishinda wakati madiwani na wabunge ccm waliochaguliwa ni zaidi ya 70% ni wapumbavu na malofa wa kutupwa..au NEC imechakachua na kura zote za udiwani na ubunge?!!
 
Marco Polo come on ona haya usoni kaka maghufuli hakushinda Urais kwa merit bali fraudulent election hii ni wazi
hata dunia inajua kwahiyo acha kualalisha haramu

We politiki unapiga porojo tu hapa.
Naamini Lowassa kashindwa, na hata ukimuongezea zile 'kura za mashaka' bado Magufuli kamnyoosha.

Yaani unataka kuniambia Lowassa kakosa hata fomu moja tu ushahidi wa matokeo ya jimboni (iliyosainiwa na wagombea na mawakala) ambapo NEC wamemchakachua.

Huo ni umburula.
Nashawishika kuwa Lowassa hana ushahidi wa kuibiwa.

Mchezo umegomea kwa mujibu wa data za BVR, wapiga kura waliojiandikisha Dar ni 2.7m wakati wa ile Mwanza ya Zamani (Mwanza, Simiyu na Geita) ni takribani 3.1m. Old Mwanza imeifuta Dar kwenye kiki.
Afu ngome ya Arusha. 1.06m imemezwa na Dodoma yenye wapiga kura takribani 1.1 pia.
Sasa Magufuli kafunika Dodoma na Old Mwanza na hivo kuzima kiki za Dar na Arusha.
Mchezo ukaishia hapo Mangi.
 
Watu wengi nikiwahoji wanasema "maisha ya sasa tz ni nafsi yako,kwani hakuna haja tena ya kujihusisha na utawala haupo"
 
Funzo nililopata kwa urais wa JPM ni kuwa kama katiba haitabadilishwa na kuondoa ibara ya 41-7 inayosema kuwa "Iwapo mgombea ametangazwa na Tume ya Uchaguzi kwamba amechaguliwa kuwa Rais kwa mujibu wa ibara hii, basi hakuna mhakama yoyote itakayokuwa na mamlaka ya kuchunguza kuchaguliwa kwake", basi itakuwa ni kujidanganya kuwa chama cha upinzani kinaweza kushinda kiti cha urais.Ibara hii ni kitanzi cha demokrasia hapa nchini, na ndiyo kinawapa jeuri ccm kuchakachua matokeo wakijua kuwa NEC ikisha mtangaza mgombea wao basi milango yote ya mahakama inakuwa imefungwa.
 
Mara nyingi nikiwa na stress au ktk mood mbaya huwa nakimbilia JF ili kujiweka sawa kiakili.Humu ndani kuna vituko sana.Anyway!
 
Back
Top Bottom