Urais Wa Dr. Magufuli ni funzo kwa Wengine

Mbona huna hoja. Mahali unaona ameshindwa kuiba kulishindikana. Ebu leta mantiki kwa nini vifaa na watu waliojaribu kukusanya matokeo kwa kuchukua matokeo yaliyotundikwa na data za mawakala wamechukuliwa na polisi ili wasiifanye kazi hiyo. kwa nini?

Hakuna hata Mwaka mmoja wa Uchaguzi tangu kurejea kwa mfumo wa vyama Vingi wapinzani hawajalalamika kuibiwa kura za Urais ila hakuna hata Mwaka mmoja wa Uchaguzi wapinzani wamefikia walau theluthi moja ya viti vya Bunge!! Viongoz wa Upinzan wenyewe wanajua hawaiwez ccm ndo maana wanawalisha sumu, 2010 Kina Mbowe walisema Slaa alimshinda Rais aliepo madarakani sasa kama kweli alishinda kwa nn 2015 walimbadilisha eti tafiti zimeonesha hawez kufua dafu kwa ccm akapewa Lowassa! Mtu alimzidi Rais Aliepo madarakani inakuaje hawez kumshinda Waziri wa Ujenzi kwny Urais chini ya ccm iliyovunjika zaid huku Upinzan ukiwa chini ya Ukawa?
 
Marco Polo come on ona haya usoni kaka maghufuli hakushinda Urais kwa merit bali fraudulent election hii ni wazi
hata dunia inajua kwahiyo acha kualalisha haramu

Asiposhinda magufuli ashinde nani? hivi mnadhani watanzania ni wajinga kiasi hicho mpaka wachague lowasa pamoja na udhaifu wrote aliouonyesha?
 
Kwako Wewe suala la kuwa na Tume huru na Katiba ya wananchi ni kelele tu?
Una imani na NEC kuwa ni tume huru na imetekeleza majukumu yake kwa uhuru na haki?

Ni kwa nini katika wadau wa uchaguzi ni CCM tu ndio wana imani na NEC?

Dar es salaam, Pemba, Knjaro na Arusha kuna tume huru ya Uchaguzi?
 
Kanon umesema kweli watu waliandaa mitandao ya kuchafua watu na kumpamba mgombea wao,funzo kubwa ni kwamba hata huko kwenye ngome zao Mh Magufuli kapata kura achilia mbali wengi walijenga kujimilikisha mikoa na Ki-Ukanda,ukweli unabaki pale pale na watu walijiuliza maswali,milango,madirisha,geti vyote vimefungwa lkn mtu kachukua Upondo karuka fence hadi ndani,anagonga milango,madirisha kutaka afunguliwe,anaona kimya anaamua kuparamia ukuta na kwenda juu ya paa la nyumba na kuanza kung'oa mabati ili atumbukie toka darini,LAZIMA WATU WAJIULIZE JAMANI KULIKONIIIII!!!!!!
 
Kwa hiyo Majimbo ya upinzani yalitangwazwa kwa kucheleweshwa na mwishoni kwa bahati mbaya?

Unaongeleaje juu ya umuhimu wa kuwa na Tume huru ya uchaguzi?
Tume huru zaidi inahitajika, sababu haki hata kama imetendeka ila vile vile inabidi IONEKANE KUTENDEKA, na hii kuonekana kutendeka ndio tatizo hapa, solution ni kushirikisha zaidi vyama vya siasa katika Tume katika namna ambayo haita politicize TUME hadi kuishia kupata watu wenye mahaba kiasi kwamba wako kuvua mashati na kuanza kupigana ndani ya Tume
 
Dar es salaam, Pemba, Knjaro na Arusha kuna tume huru ya Uchaguzi?
Unakubaliana na CCM kuwa Tume NEC iliyosimamia Uchaguzi ni Tume huru?

Unafahamu maana ya Tume huru?
 
Tume huru zaidi inahitajika, sababu haki hata kama imetendeka ila vile vile inabidi IONEKANE KUTENDEKA, na hii kuonekana kutendeka ndio tatizo hapa, solution ni kushirikisha zaidi vyama vya siasa katika Tume katika namna ambayo haita politicize TUME hadi kuishia kupata watu wenye mahaba kiasi kwamba wako kuvua mashati na kuanza kupigana ndani ya Tume

Tafuta maarifa na jielemishe juu ya Tume ya uchaguzi ya Ghana.
 
Unakubaliana na CCM kuwa Tume NEC iliyosimamia Uchaguzi ni Tume huru?

Unafahamu maana ya Tume huru?

Mlipokuwa mnasema Mtashinda kabla kwisha misa ya kwanza ya jpili haijaisha kulikuwa na Tume huru? Viongoz wa Ukawa walipokutana na jk akawaambia ndan ya Katiba mpya tumeondoa Serikal 3 lakin kuna tume huru ya uchaguzi na sheria ya kupinga matokeo ya urais Mahakamni nenden mkaipitishe kwa Faida yetu sote hayo mengine hata baadae yanaweza kufikiriwa Mkaenda kususia Bunge hamkujua Kama kuna Uchaguzi Mkuu? Rasilimali Akili ni Changamoto kubwa sana kwenye Genge la Ukawa, ile ilikuwa ni technique ya jk kuwasaidia mkashindwa kulitambua mapema kwa kuw akili tunda ya ubuyu, mihemko kipeuo cha milion 10
 
Wewe suala la kuwa na Tume huru na Katiba ya wananchi ni kelele tu?

Una imani na NEC kuwa ni tume huru na imetekeleza majukumu yake kwa uhuru na haki?

Huhitaji imani bali takwimu za matokeo ya ubunge. CCM ina wabunge zaidi ya 180 na upinzani chini ya wabunge 80. Je matokeo haya yanapingwa na wengi? Kama hakuna sauti ya kupinga matokeo ya ubunge kwa ujumla wake kwa hiyo kwa "extrapolation" idadi ya kura za mgombea urais wa CCM haishangizi kuwa nyingi. Vivyohivyo mgombea urais wa Chadema amemshinda mgombea urais wa CCM kwa wingi wa kura katika mikoa mitatu Tanzania bara (Arusha, Dar es Salaam na Kilimanja)
 
Tume huru zaidi inahitajika, sababu haki hata kama imetendeka ila vile vile inabidi IONEKANE KUTENDEKA, na hii kuonekana kutendeka ndio tatizo hapa, solution ni kushirikisha zaidi vyama vya siasa katika Tume katika namna ambayo haita politicize TUME hadi kuishia kupata watu wenye mahaba kiasi kwamba wako kuvua mashati na kuanza kupigana ndani ya Tume

Ukiingia kwenye jambo lolote ukijua vizuri sheria inayoongoza hilo jambo halafu unapinga matokeo ya hilo jambo kwa hoja kuwa sheria mliyokuwa mnaitumia inakugandamiza lazima tujiuluze kwanza utimamu wa akili yako! Kama kamati kuu ya Chadema ina kina Sugu, Joyce Mukya, Rose Kamili na Lema unategemea kweli kitu tifauti sana cha kuweza kuwanyima usingizi kina Kinana na Mzee Mangula?
 
Huhitaji imani bali takwimu za matokeo ya ubunge. CCM ina wabunge zaidi ya 180 na upinzani chini ya wabunge 80. Je matokeo haya yanapingwa na wengi? Kama hakuna sauti ya kupinga matokeo ya ubunge kwa ujumla wake kwa hiyo kwa "extrapolation" idadi ya kura za mgombea urais wa CCM haishangizi kuwa nyingi. Vivyohivyo mgombea urais wa Chadema amemshinda mgombea urais wa CCM kwa wingi wa kura katika mikoa mitatu Tanzania bara (Arusha, Dar es Salaam na Kilimanja)
Sawa jipongeze kwa kuwezeshwa na Tume ya uchaguzi.

Unapenda kuona Tume huru ya uchaguzi inaundwa na kusimamia uchaguzi Tanzania?
 
CCM imengia kwenye uchaguzi ikijua kuwa Tume ya uchaguzi ni huru?

Je kwa ufahamu wako tume ya uchaguzi ni huru?

Tume ni huru na ndio maana matokeo ya ubunge na udiwani mmeyakubali.
 
Mlipokuwa mnasema Mtashinda kabla kwisha misa ya kwanza ya jpili haijaisha kulikuwa na Tume huru? Viongoz wa Ukawa walipokutana na jk akawaambia ndan ya Katiba mpya tumeondoa Serikal 3 lakin kuna tume huru ya uchaguzi na sheria ya kupinga matokeo ya urais Mahakamni nenden mkaipitishe kwa Faida yetu sote hayo mengine hata baadae yanaweza kufikiriwa Mkaenda kususia Bunge hamkujua Kama kuna Uchaguzi Mkuu? Rasilimali Akili ni Changamoto kubwa sana kwenye Genge la Ukawa, ile ilikuwa ni technique ya jk kuwasaidia mkashindwa kulitambua mapema kwa kuw akili tunda ya ubuyu, mihemko kipeuo cha milion 10
Maisha bora.
 
Tume huru zaidi inahitajika, sababu haki hata kama imetendeka ila vile vile inabidi IONEKANE KUTENDEKA, na hii kuonekana kutendeka ndio tatizo hapa, solution ni kushirikisha zaidi vyama vya siasa katika Tume katika namna ambayo haita politicize TUME hadi kuishia kupata watu wenye mahaba kiasi kwamba wako kuvua mashati na kuanza kupigana ndani ya Tume

Nini tafsiri ya tume huru hasa,na nani anawajibu wa kusema kwamba tume hi sasa ni huru?.vyama vya siasa vinapata ruzuku kutoka serikalini huko huko,tena mwenyekiti wa CCM ndio anaidhinisha pesa hizo.hapo sawa tu.Wabunge wa upinzani bungeni wanapata malipo yao ya posho na mishahara,wala hatuwasikii wakilalamika kwamba pesa inatolewa na serikali ya chama tawala hivyo sio halali.!
 
Back
Top Bottom