Urais UKAWA, hesabu zinalalia CHADEMA

Rais dr slaa,mbatia makam ris, lipumba w/mkuu , mbowe w/fedha, sugu w/utamuni na michezo, Msigwa w/uchumi bishara na uwezeaji..........etc
 
Dr slaa anamvuto kwa wananchi kwa sasa??
Binafsi 2010 nilimpa kura lakini kwa sasa hapana...
Kama kweli wamechemka sana sana .. Kura zitapungua sana

Kama mnamchagua mtu kwa kuangalia mvuto wake ndiyo maana mnachagua majoka yenye ndimi 2 halafu yanaanza kuwang'ata wananchi.
 
SINa imani kabisa na kibabu silaha,KWANZA NI MZEE SANA NA BADO ANAMPANGO WAKE NA KASKAZINI, NYINYI MTWARA,TANDAHIMBA NA KWETU VWAWA MBOZI MBEYA TUTASUBIRI SANA

Naona wewe bado unaweweseka na kipigo cha uchaguzi wa serekali za mitaa mlichokipata hapo Vwawa.
 
SINa imani kabisa na kibabu silaha,KWANZA NI MZEE SANA NA BADO ANAMPANGO WAKE NA KASKAZINI, NYINYI MTWARA,TANDAHIMBA NA KWETU VWAWA MBOZI MBEYA TUTASUBIRI SANA

Kweli ni Bora kufa moyo kuliko kufa akili,hivi wewe nae ni mtu kweli au nimfano wa mtu tu!.Kuwa nawatu kama wewe nibora kuishi na Ebora ijulikane moja tu
 
Ningewashauri UKAWA katika ugawanaji wangeangaria nguvu ya ushawishi katika maeneo usika.kama kusini CUF wangepewa maeneo mengi sababa inaonyesha wanapamudu.na sehemu ambazo CHADEMA wameshawekeza sana waachie na kama vile NCCR kigoma kwa maeneo ambayo wanawabunge tayari.NLD Sidhani kama wananguvu kinachoweza kufanyika nikuwapa nafasi kadhaa za viti maalumu.ni vizuri kuangalia uhalisia kama kweli wanania ya dhati kuiondoa madarakani CCM.si vizuri kugawana majimbo kwa kigezo kwamba mwingine asikose kabisa jimbo bila kuangalia nguvu ya muhusika katika jimbo usika
 
UKAWA haujasajiliwa kama chama cha siasa.Muungano wa vyama hautambuliwi kwenye sheria ya vyama vya siasa hivyo hawawezi toa mgombea uraisi na makamu toka vyama tofauti.

Wanasheria uchwara wa UKAWA hawajawashauri hilo kabla ya huo mkutano?

Mkuu hyo ni very simple, anahama chama mmoja wao kukidhi mahitaji kwa muda.Hyo isikupe shda mkubwa.
 
Huu ni ujuha tu wa habari yote hayo yanafanyika kwa katiba ipi?



Swali lıkikushinda usiseme limekosewa.Katiba haimzui raia kuhama chama kimoja kwenda kingne.Atahama mmojawapo.Mathematiçally inawezekana, lakıni je Seif anaweza kubali??Hataki kabisa habari za muungano Maalim na Wazanzibar wanaweza kumdhuru akithubutu kuwasalıti.
 
kwa katiba ya sasa huo ugombea wa Dr Slaa na Mh Maalim sef hauwezekani, ila wanaweza wakachagua chama kimija kugombea urais na makamu lets say Dr Slaa akasimama kugombea urais na Mwingine kutoka chadema upande wa Zanzibar akawa makamu, chama kingine kitowe waziri mkuu, chama hiki kiwe ni kile chenye wabunge wengi ila sio chadema hata kama chadema ndio itakuwa na wabunge wengi basi kitakachofuatia, then wakichukua nchi watapanga vyeo kwa uwezo wa mtanzania
 
Back
Top Bottom