Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 847
- 2,954
Uraisi ni Kama sherehe tu halafu raisi ni Kama bwana harusi na Bibi harusi.
Ukiwa na harusi hata ya gharama kiasi gani hakika watu wako wengine ndio hufaidi zaidi.
Hata ukaagiza semi ya soda hakika hautakunywa hata soda tatu umalize.
Hata ukakodi ndege hakika hautapanda mwenyewe japo gharama itakuhusu wewe haijalishi ni moyo wako unafurahia au la!
Hivo basi rasi yeye Hana tena shida mpaka atakapokufa ulinzi ni uhakika kwanini sasa usiwatendee watu mazuri maana wewe unakula kidogo mno kinachoibwa kingi wanakula wapambe wako na machawa.
Yangu ni hayo tu.