Urais: Ni kazi ngumu au rahisi?

Urais: Ni kazi ngumu au rahisi?

Ukiwa Raisi unaweza kuwa kila siku unapanda ndege na kwenda ulaya au marekani kama yule mzee wetu maarufu
 
Hawezi kwenda UDSM, Akienda bank hadi atoroke, Hawezi kwenda mlimani city
Kila anakokwenda wanatangulia wiki kabla ( vijana wapelelezi) Huwezi mtembelea Rafiki Kila unakokwenda unatangazwa Lawama kila kona Wakati hAdi kanisani walindwa Kila kitu wewe nchi nzima usiku na mchana unafanya kadri ya uwezo wako Hivi kuwa Rais kuna raha gani labda hUwa wanaejoy nini kwa mfano!!!!!
 
Hawezi kwenda UDSM, Akienda bank adi atoroke, Hawezi kwenda mlimani city
Kila anakokwenda wanatangulia wiki kabla ( vijana wapelelezi) Huwezi mtembelea Rafiki Kila unakokwenda unatangazwa Lawama kila kona Wakati Adi kanisani walindwa Kila kitu wewe nchi nzima usiku na mchana unafanya kadri ya uwezo wako Hivi kuwa Rais kuna raha gani labda Uwa wanaejoy nini kwa mfano!!!!!


Urais sio kutafuta raha, bali ni wajibu unaosukumwa na maono ya kuwatumikia wananchi wa nchi husika na kuwaletea maendeleo, ni wajibu mzito na mgumu sana kama unavyomsikia JPM akisema mara kwa mara! Japo kuna mtu ni dhahiri alikwenda Ikulu kutafuta raha, na alipata raha kwelikweli, shida na dhiki za wananchi sio sehemu ya mambo yaliyokuwa kichwani mwake kihivyo. Mungu apishe mbali tusimpate tena Rais mponda raha kama yule, Good riddance
 
Waulize fisiem watakuwa majibu mazuri tukianzia kule Znzibar na kisa cha Jecha kuweka mpira kwapani
 
Hawezi kwenda UDSM, Akienda benki hadi atoroke, Hawezi kwenda mlimani city.

Kila anakokwenda wanatangulia wiki kabla ( vijana wapelelezi) huwezi kumtembelea Rafiki.

Kila unakokwenda unatangazwa lawama kila kona wakati hadi kanisani walindwa kila kitu wewe nchi nzima usiku na mchana unafanya kadri ya uwezo wako.

Hivi kuwa Rais kuna raha gani labda huwa wanaejoy nini kwa mfano!!!!!
Inawezekana hayo yote ndio maisha wanayoyapenda. Hakuna rais aliyegombea bila ya ridhaa yake.
 
Inawezekana hayo yote ndio maisha wanayoyapenda. Hakuna rais aliyegombea bila ya ridhaa yake.
Huyu alitaka lakini siii kiiiiivyo akitegemea labda 2025
 
Back
Top Bottom